Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia wananchi wote mnaoishi mabondeni na maeneo hatarishi ambayo yanaathirika na mvua za kila mara kuhama mara moja katika maeneo hayo kwani hivi karibuni tunatarajia kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani.
Hivyo wananchi wote mliopo kwenye maeneo hatarishi mnatakiwa kuhama mara moja.
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke