Natafikaje Ofisi za Manispaa ya Temeke. Ukitokea Mbagala teremka kituo cha uwanja wa taifa, na ukitokea mjini pitia barabara ya Chang'ombe na unganisha na barabara ya Taifa kisha teremka kituo cha uwanja wa TaifaScreenshot_20170406-153323.png
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke