Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, sekta ya kilimo imekuwa ndio msingi mkubwa wa kukuza kipato na chakula kwa familia na jamii kwa ujumla zaidi ya kaya 6118 zenye wakulima 11270 wanaojishughulisha na kilimo kwenye eneo la hekta 6000.
MAZAO YANAYOLIMWA
Mazao yanayolImwa ni mpunga, hekta 250.Mhogo hekta 20. Mboga na matunda 5730.Hivyo asilimia kubwa ya chakula katika maeneo ya mjini kinaingizwa kutoka nje ya mkoa.
Uzalishaji wa mboga unachangia zaidi ya asilimia 75 ya mboga zote zinazoliwa katika halmashauri yetu.
Huduma za ugani zinafanyika kwa kutoa ushauri kwa wakulima, mashine za kusaga, masoko na maghala ya chakula.
MAJUKUMU YA IDARA YA KILIMO
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke