• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Huduma ya Maji

Halmashauri ya manispaa ya Temeke kupitia idara ya Maji tunatoa huduma mbalimbali kwa ajili ya ustawi wa wananchi wetu na Taifa kwa ujumla.

Kwakupitia Idara ya maji imeweza kutatua tatizo la maji mpaka kufika 68% ya matumizi.

VYANZO VYA MAJI 

  • Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na DAWASA imeweza kusambaza na kujenga visima vya maji katika maeneo mbalimbali ya temeke. Kuna jumla ya mabomba 195 ambayo yamesambavyo katika jumla ya mitaa 95 za Temeke.
  • Mto wa kizinga kilichopo Mtoni.
  • Visima vya maji. Halmashauri ya manispaa ya Temeke ina jumla ya miradi ya maji 195. Ambavyo ni visima vya maji vilivyopo katika makazi ya watu. Visima virefu 238.

 

KIASI CHA MAJI KINACHOPATIKANA 

Kwa kata 23 mahitaji  halisi ya maji ni kiasi cha lita za ujazo 115.5 milioni kwa siku. Na kiasi kinachopatikana ni lita za ujazo 77.5 milioni kwa siku sawa na asilimia 68% tu ya mahitaji ya wakazi wa Manispaa ya Temeke kwa ajili ya matumizi ya aina zote kama vile kwa wakazi, viwanda na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii.

Kwakupitia chanzo cha DAWASA ni kiasi cha 125 lita za ujazo kwa siku. Chanzo hiki kinapatikana kutoka kwenye Mito,Ruvu chini na Ruvu juu.

Visima vyamaji vilivyochimbwa kwa ajili ya jamii vinatoa kiasi cha 26,133 lita za ujazo.

 

BAADHI YA HUDUMA TUNAZOTOA NI PAMOJA NA:

  • Kuendelea kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi wa Temeke.
  • Kuwapatia wananchi vyanzo mbalimbali vya maji kama vile miradi ya maji bomba, visima virefu na visima vifupi.
  • Kuboresha visima,na miundombinu ya maji.
  • Kutoa elimu kwa wananchi kuhusu sera ya maji ya mwaka 2002, sheria ya maji na usafi wa mazingira na.12 ya mwaka 2009 kuhusiana na usimamizi na uendeshaji miradi ya maji.
  • Kutoa huduma ya ushauri wa kitaalamu juu ya uendeshaji na matengenezo ya miundombinu na mitambo/mashine katika miradi ya maji kwa vyombo vya watumiaji maji.
  • Kuhakikisha huduma ya maji inakuwa endelevu katika maeneo yote ambayo yana miradi ya maji.
  • Kuandaa usanifu wa miradi mipya ya maji na kufanya ukarabati wa miradi iliyochakaa.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke