- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
-
Huduma Zetu
- Utoaji wa Leseni za biashara
- Utoaji wa Leseni za vileo
- Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
- Utoaji wa hati na leseni za Makazi
- Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
- Upimaji wa ardhi
- Usajili wa vikundi vya kijamii
- Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
- Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
- Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Chanzo cha habari
- Nyaraka
- Mifumo


Moja ya vipando vya mbogamboga vikiwa katika vifaa maalum(kilimo mjini) ambavyo hutumia eneo dogo na kutoa mazao lukuki.
Mkulima kutoka kata ya Mtoni Bi Sikudhani Jalala akitoa maelezo kwa Mhandisi Stella Manyanya kuhusu namna ya utengenezaji na utumiaji wa dawa za asili za kutibu magonjwa ya mimea alipozuru katika banda la Temeke.
Mhandisi Stella Manyanya akiangalia kifaa cha kufugia vifaranga(Kinengunengu) katika banda la maonesho Manispaa ya Temeke Mkoani Morogoro.

