• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Historia

Manispaa ya Temeke ni moja ya Halmashauri chache kongwe zenye utajiri na historia ambayo imechangia kuleta mabadiliko kisiasa, kiuchumi na kijamii Nchini. Kwa ujumla Temeke imekuwa kitovu cha upatikanaji wa uhuru wa Tanzania bara, pia kwa ukuaji wa michezo, utamaduni na maendeleo ya kilimo katika jiji la Dar es Salaam.

Manispaa ya Temeke ina eneo la ukubwa wa kilomita za mraba 240 iliundwa 1999 chini ya sheria ya Serikali za mitaa (mamlaka ya miji) ya mwaka1982.

Manispaa ya Temeke ipo kusini mwa mkoa wa Dar es salaam ambapo Mashariki inapatikana Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na wilaya ya Mkuranga iliyopo mkoa wa Pwani na Kaskazini-Magharibi imepakana na manispaa ya Ilala wakati kwa upande wa Kaskazini-Mashariki Halmashauri hii imepakana na halmashauri ya manispaa ya Kigamboni.

Temeke ina majimbo makuu mawili ya uchaguzi (Temeke na Mbagala) ina idadi kubwa ya watu ambapo kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 idadi ya watu ni 1,346,674 kati yao wanawake ni 691,537 na wanaume ni 655,137.

Temeke ni moja ya Wilaya inayolibeba Jiji la Dar-es-Salaam, kivipi, Dar-es-Salaam ni Temeke kwa kuwa bandari ipo Temeke,viwanja vyote vya mipira kitaifa - Uwanja wa Taifa na uwanja wa Uhuru, pia ipo jirani na Uwanja wa ndege wa kimataifa, ni mwanzo wa Reli ya Tazara, ina Uwanja wa kimataifa wa maonesho - sabasaba, ina daraja la Nyerere ambalo ni la Kimataifa. Samaki hupatikana kwa uwingi Temeke, ina fukwe nzuri za kuvutia zenye mchanga mweupe, ina wakazi wengi na wahamiaji wanaopata maeneo ya kujenga kutokana na kuwa na maeneo makubwa tena ya wazi. Ina mtandao mkubwa wa barabara za lami. Hii ndiyoTemeke tunayoisema.

Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022, idadi ya wakazi wake ni 1,368,881 kati ya hao wanawake 699,825 na wanaume 669,056. Kijiografia Temeke ina ukubwa wa Kilomita za mraba 240 baada ya kugawanywa na kuzaliwa Wilaya mpya ya Kigamboni, Kwa upande wa Mashariki, Temeke imepakana na bahari ya Hindi, Kusini kuna Wilaya ya Mkuranga na Magharibi kusini kuna Wilaya ya Ilala kwa kufuata reli ya kati.

Manispaa ya Temeke ni lango la kuingia kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika zikiwemo Msumbiji, Afrika ya Kusini n.k kupitia upande wa Kusini upande wa Kaskazini kuna Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere hivyo ni rahisi kwa wawekezaji kufanya biashara za Kimataifa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke