• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mazingira na Maji taka


Bw; Ally Hatib

Mkuu wa Idara ya Usafishaji na Mazingira



Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imedhamiria kutekeleza majukumu yake kwa kuweka kipaumbele idara ya usafi na mazingira.

Manispaa ya Temeke inakadiriwa kuzalisha wastani wa tani 1,494 kwa siku.Kati ya hizo tani 964.6 huzalishwa kwenye makazi ya watu na tani 150 huzalishwa kila siku kwenye masoko.Ambapo taka hizo huondolewa na magari ya Manispaa na magari ya kukodi ya wakandarasi.

 Uwezo wa kuzoa taka wa magari ya halmashauri kwa kushirikiana na wakandarasi na taasisi binafsi ni wastani wa tani 964.6 kwa siku,ambazo ni sawa asilimia 65% ya taka zinazozalishwa kila siku.

Idara imegawanyika katika vitengo viwili ambavyo hujisimamia katika utendaji wake, vitengo vyake ni:

  • Taka Ngumu na
  • Mazingira

Aina ya Taka zinazokusanywa ni:

  • Taka ngumu na
  • Maji taka


USAFI WA BARABARA

Kazi ya usafi wa barabara zenye urefu wa kilomita 106.85 na mifereji ya wazi kilomita 199,kufyeka majani pembezoni mwa barabara hufanywa na wakandarasi wa kata na vibarua wa Halmashauri.

Barabara zinazofanyiwa usafi ni pamoja na barabara ya Nyerere, barabara ya Kilwa, Mandela, Chang’ombe, barabara ya Tandika, Yombo,Soko la sterio, Dr Omay Juma, Mbozi, na Azimio Mbagala kuu.


MAJUKUMU YA IDARA HII MUHIMU NI:-

Kuongeza uwezo wa udhibiti na uzoaji taka ngumu katika mitaa 97.

Kuhimarisha usafi wa barabara za lami na mifereji ya maji ya mvua.

Kuimarisha programu ya elimu kwa jamii kuhusu usafi na mazingira.

Kushirikisha wadau katika uboreshaji wa usafi wa mazingira katika ngazi mbalimbali.

Kuimarisha mfumo wa usimamizi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa mikakati ya usafi.

Kuhakikisha shughuli zote za kibinadamu zinalinda mazingira.(Environmental Protection and Conservation).

Kuimarisha vikao vya utendaji vya idara.

Kuandaa na Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Mazingira ya mwaka 1997

Kusimamia utekelezaji wa sheria ya mazingira Na 20 ya 2004.


MIKAKATI YA IDARA

  • Halmashauri imejiwekea mkakati wa kuhakikisha kila jumamosi ya mwisho wa wiki ni siku ya usafi kuanzia saa 1.00 asubuhi hadi saa 3.00 asubuhi,Usafi huu utashirikisha, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Temeke, Mstahiki Meya, Waheshimiwa Madiwani, Watumishi, Wananchi waishio maeneo ya Halmashauri na wadau mbalimbali.
  • Kuendelea kuhamasisha jamii juu ya usafi wa mazingira katika ngazi zote za kiutawala na jamii.
  • Kutengeneza bustani za maua kwenye mizunguko ya barabara(round about) na kupanda miti yenye mvuto pembezoni mwa barabara.
  • Kuhusisha sheria ndogo ndogo za usafi na mazingira ili ziweze kwenda na wakati uliopo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke