• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Miradi iliyopangwa

MRADI WA DMDP-I ILIYOPANGWA 

KATIKAKIPINDI CHA 2015–2021

 Utangulizi: 

Manispaa ya Temeke ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project –DMDP). Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mkopo kutoka Benki ya Dunia. Utekelezaji wake unaratibiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) chini ya usimamizi wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI.

Jumla ya wananchi 2,280 na kiasi cha TZS 20,291,600,326.00 zilipatikana kwa ajili ya ulipaji wa fidia kupisha mradi wa DMDP ambapo TZS 700,000,000.00 zinatokana na mapato ya ndani na TZS 19,591,600,326.00 ni mkopo kutoka benki ya CRDB. Hadi kufikia Juni 2021 jumla ya Wananchi 2,124 na kiasi cha TZS.18,794,060,068.00 zimetumika katika ulipaji fidia husika.

Mradi wa DMDP Katika Manispaa ya Temeke utekelezaji wake umefanyika katika kata 18 kati ya kata 23 zilizopo Manispaa ya Temeke. Mradi kwa sasa umefikia asilimia 85 ya utekelezaji. Gharama za mradi ni TZS 216,744,930,881.00 Hadi mwezi Juni kiasi cha TZS169,468,415,009.08 zimeshalipwa kwa wakandarasi.


Miradi iliyopangwa

  • Ujenzi wa Barabara ya Kijichi- Toangoma, Mwanamtoti na Ofisi ya Mradi
  • Ujenzi wa barabara za Chang’ombe, Mchicha na TemekeMbagala
  • Ujenzi wa Bonde la Gerezani
  • Maboresho ya Bonde la Mto Kizinga
  • Maboresho ya Miundombinu ya Jamii Kata ya Kilakala na Keko
  • Maboresho ya miundombinu ya jamii Kata ya Kijichi
  • Maboresho ya miundombinu ya jamii Kata ya Makangarawe
  • Maboresho ya Miundombinu ya Jamii Kata ya Mtoni
  • Maboresho ya Miundombinu ya Jamii Kata ya Mbagala
  • Maboresho ya Miundombinu ya Jamii Kata ya Mbagala Kuu
  • Maboresho ya Miundombinu ya Jamii Kata ya Yombo Vituka
  • Maandalizi ya Mji wa Mfano katika eneo la Vikunai
  • Ujenzi wa barabara ya Nzasa – Kilungule-Buza
  • Ununuzi wa magari ya usafishaji

Matangazo

  • TANGAZO: KUFUNGA VITUO VYA DAYCARE January 29, 2023
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA January 06, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KILIO CHA KIVUKO KATA YA MIANZINI CHAFIKA MWISH0

    March 25, 2023
  • "TUTAPAMBANA NA KIPINDUPINDU KWA USAFI" MHE. AMOS MAKALLA

    March 25, 2023
  • MTAKUWWA TEMEKE YADHAMIRIA KUDHIBITI VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO

    March 24, 2023
  • WANAHABARI WANA JUKUMU LA KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA KIFUA KIKUU-MHE. UZAHILU

    March 24, 2023
  • Angalia zote

Video

RC MAKALLA AONGOZA ZOEZI LA USAFI MBAGALA
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke