• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI 2024/2025

Posted on: February 2nd, 2024

Na: Sweetbetter Njige -TMC Habari


Baraza la madiwani manispaa ya Temeke likiongozwa na Mstahiki meya Mhe.Abdallah Mtinika limeidhinisha Bilioni 152.6 ikiwa ni rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo kati ya hizo Bilioni 99.6 ni ruzuku kutoka serikali kuu na Bilioni 53 ni mapato ya ndani. Huku Bilioni 27.5 kutoka katika mapato ya ndani zikitarajiwa kwenda kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa hii.


Akizungumza wakati wa baraza hilo lililofanyika leo Februari 1,2024 Mhe. Mtinika amesema ni furaha kwa baraza la Madiwani na Watumishi kwa ujumla kuendelea kushuhudia ukuaji katika ukusanyaji wa mapato na mafanikio ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na Manispaa hiyo imejipanga kuyafikia makadirio hayo kwa kutumia mbinu mbalimbali.


"Ukusanyaji wa mapato unaendele kukua, bajeti yetu imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka, tumeweka mipango mingi katika kuimarisha uwekezaji, kuongeza vyanzo vipya vya mapato, mbinu mpya za ukusanyaji  na kuboresha mazingira ya biashara".Alisema Meya huyo


Kwa upande wake mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndg.Elihuruma Mabelya amesema Menejimenti imefanya maandalizi ya kutosha kwa kushirikiana na madiwani na wamebainisha vipaumbele vya maeneo yanayohitaji utekelezaji wa kibajeti.


Nae Mchumi wa manispaa Ndg. Gervas Lupembe amesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Manispaa kupitia mapato yake ya ndani imefanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya afya, elimu n.k huku ikijipanga kukusanya Bilioni 53 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato ya ndani.


Serikali hupanga bajeti mapema kwa kila mwaka mpya wa fedha ili kuweza kufikia malengo iliyojiwekea kwa kuzingatia vyanzo vya mapato na matumizi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke