• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC GONDWE MGUU KWA MGUU NA WADAU WA NMB.

Posted on: June 3rd, 2021

DC GONDWE MGUU KWA MGUU NA WADAU  BENKI YA NMB.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe leo amefanya ziara na wadau kutoka Benki ya NMB (NMB BANK PLC) kutembelea Shule za Msingi na Sekondari zilizoko katika Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam.

Mhe Mkuu wa Wilaya mbali na kuambatana na wadau kutoka NMB pia aliambatana na wataalamu wa Manispaa  ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya amezuru shule nne (4) ambazo ni Shule ya Sekondari Mbande, Charambe na Shule ya msingi Maji matitu na Mbande akiwa na wadau kutoka NMB kwa lengo la kujionea changamoto mbalimbali zilizoko ili ziweze kutatuliwa.

Mh Gondwe amesema Serikali ya wilaya imekuwa ikijitahidi kuhakikisha inaboresha miundombinu ya elimu kwa kuhakikisha  kunakuwa na mazingira bora ya kutoa elimu katika ngazi ya msingi na Sekondari.

"Nafarijika sana kuambatana na Benki ya NMB  katika ziara hii kujionea changamoto zinazoikabili sekta ya elimu hususani katika Wilaya ya Temeke, naamini baada ya ziara hii watatusaidia kwa namna moja au nyingine kupunguza changamoto zilizoko ili kuunga mkono juhudi kubwa inayofanywa na Manispaa" Alisema Mhe Gondwe.

Kwa upande wa Benki ya NMB kupitia Meneja Mahusiano NMB na Serikali kwa kanda ya Dar es Salaam  Bi Irene Masaki amesema ziara hiyo imewafungua macho wamejionea changamoto anuai kama msongamano wa wanafunzi, uhaba wa madarasa na madawati, uhaba wa matundu ya vyoo, majengo chakavu, kutokutosheleza kwa samani nk,

Hivyo vyote wataenda kuwasilisha makao makuu ya Benki ya NMB na wanaamini ziko baadhi ya changamoto zitatatuliwa mapema iwezekanavyo kwa kuwa Benki hiyo hutenga asilimia moja (1%) ya faida baada inayopatikana na huwa na utaratibu wa kurejesha kwa jamii.

Vilevile aliahidi kuendeleza utamaduni wa kuzitembelea shule ili kuwajengea vijana ufahamu wa umuhimu wa kuwa na akaunti ili kutunza pesa na badae kutimiza ndoto zao.

Sambamba na hayo Mhe Mkuu wa Wilaya alipata wasaa wa kuongea na wanafunzi na kuwataka vijana kusoma kwa bidii, kuwa na nidhamu na kujiwekea malengo katika maisha yao kuanzia sasa.

Akasisitiza kwa msemo wa "Binti shujaa...natimiza ndoto yangu" akawataka vijana wakike kutokushawishika na kitu chochote badala yake wasome kwa bidii pia vijana wakiume watumie fursa waliyoipata kusoma kwa kuwa ndio njia pekee ya kujikwamua dhidi ya umasikini.

Akahitimisha kwa kusema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan imejidhatiti kuwapatia elimu bora vijana wa kitanzania na yeye akiwa mwakilishi wake ndani ya wilaya ya Temeke atafanya kazi usiku na mchana kwa kushirikiana na wataalam ili kutimiza malengo hayo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke