• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC TEMEKE ATAKA HATUA ZA HARAKA KUCHUKULIWA KUKOMESHA UVUNJIFU WA MAADILI MASHULENI.

Posted on: March 16th, 2021


Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa  Godwin Gondwe, ametoa maelekezo kwa uongozi wa shule ya msingi Toangoma ,pamoja na uongozi wa kata, kuchukua hatua za haraka kukomesha vitendo vya uvunjifu wa maadili vinavyodaiwa kukithiri katika shule hiyo.

Mhe. Gondwe ametoa maelekezo hayo leo ,majira ya mchana wakati alipotembelea shuleni hapo  kwa lengo la kupata ukweli wa kile kilichoripotiwa na vyombo vya habari kuhusu kukithiri kwa vitendo vya ngono.

Akizungumza na walimu wa shule hiyo Mhe. Gondwe aliwataka walimu hao kuzungumza wanachokifahamu kuhusu vitendo hivyo,ambapo walimu walieleza hali halisi iliyopo,ndipo mkuu huyo wa wilaya akatoa maelekezo kuhusu hatua za kuchukua,ambapo amesema" Natoa siku saba (7) kwa uongozi wa shule na uongozi wa kata mkutane,mkae,muweke mikakati ya pamoja,na baada ya ninyi kukutana,mtendaji wa mtaa ,aitishe mkutano wa mtaa ambao utawahusisha  viongozi wote wa kata,kamati ya ulinzi na usalama ya kata,Afisa ustawi wa jamii,Afisa maendeleo ya jamii,Afisa Afya,uongozi wa shule,wazazi na wazee mashuhuri  wa mtaa,ili kwa pamoja wakubaliane ni kwa namna gani vitendo hivyo vitakoma.Suluhisho la kudumu la tatizo hili litapatikana kwa kutumia ushirikishwaji wa pamoja''.Kadhalika Mhe. Gondwe ameagiza kufukuzwa shule kwa wanafunzi watatu(3) ambao wamethibitika kuwa vinara wa vitendo hivyo viovu.

Sambamba na hilo, ameagiza kupigwa kwa kura ya siri kwa kila darasa,ili kuwabaini wanafunzi wote wanaojihusisha na vitendo hivyo,na baada ya kuwabaini, wafanyiwe uchunguzi wa kitabibu  kuthibitisha tuhuma hizo.Baada ya kuthibitisha,wazazi wao waambiwe kwa uwazi,na hatua stahiki za kitabibu zichukuliwe kwa wale walioathiriwa kiafya  na kisaikolojia.Na kwa wale vinara,hatua kali za kisheria zichukuliwe,ikiwemo kuondolewa shuleni.

Aidha Mhe. Gondwe ameelekeza kuwepo kwa walimu washauri katika  kila shule ambao watahusika kuwashauri wanafunzi kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo malezi na makuzi ,pamoja na kufuatilia mienendo yao.Mhe. Gondwe pia ameagiza kuanza kwa kampeni ya Binti shujaa ,natimiza ndoto zangu

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke