• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC TEMEKE ATOA MAAGIZO KWA WAFANYABIASHARA WANAOKIUKA SHERIA ZA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA KEMIKALI

Posted on: December 2nd, 2020

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe ameagiza kuchukuliwa hatuakwa makampuni / wafanyabiashara wanaokiuka sheria za uhifadhi na utunzaji wa kemikali.

Mhe. Gondwe ametoa agizo hilo jana mchana wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika ghala namba 25 la kampuni ya ‘JUNACO Group Limited’ lililopo katika mtaa wa Mivinjeni,kata ya Kurasini, ambapo amebaini ukiukwaji mkubwa wa sheria za uhifadhi na utunzaji wa Kemikali za kusafishia maji,pamoja na za kusafishia mitambo.

Mhe.Gondwe akiwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama,pamoja na wataalamu kutoka katika idara mbalimbali zinazohusika,wamebaini kuwa kampunimbili,JUNACO Group LTD na ImproChem zinatumia ghala moja kuhifadhia bidhaazake(Kemikali) ambapo kutokana na matumizi ya kemikali hizo, ni kosa kisheria.

Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi katika ghala hilo ,Mhe. Gondweamesema'' Hii ni serikali ambayo haionei wafanyabiashara ,tunapenda mfanyebiashara,lakini sheria na taratibu na sheria lazima zifuatwe.Linapokua suala la maishaya watu hatujadiliani,ndio maana timu nzima ya usalama iko hapa kuhakikisha kwamba kila mtu anasimama kwenye eneo lake.Watu wangu wamekuja toka juzi wanafanya kazi hapa,najua kila kitu,nyie wenyewe mnajua, mjirekebishe,lakini ilimsifanye tena haya,utaratibu wa kisheria wa kawaida utafuatwa,  kazi inaendelea,taasisi zote ambazo nimezitaja hapa,ziko kaziniTMDA,TBS,DAWASA,ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali ,pamoja na vyombo vya ulinzina usalama,wote wako kazini, sisi wote hapa ni viongozi,tulinde uhai wa binadamuambao hauna mbadala.Mtu akifa, amekufa sasa sisi Temeke tunataka tuzuie kablamatatizo haya hayajamfika mwanachi.

Kwa kushirikianaNa taasisi zote ambazo zinahusika katika maeneo husika”.Akizungumzia sakata hilo,Meneja wa ofisi ya mkemia mkuu wa serikali kanda yaMashariki ndugu Gerald Meliyo amesema"Tumefanya ukaguzi hapa, tumegundua mambo mbalimbali ambayo hayaendani na sheria ya usimamizi wa kemikalinchini, moja wapo ni hili la kuchanganya kemikali sehemu moja,jambo ambalo siosawa.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke