• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

DC TEMEKE ATOA SIKU 7 KWA MWENYEKITI WA MTAA

Posted on: April 28th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe amempa siku saba kuanzia jana April 28, 2021 mwenyekiti wa Mtaa wa Azimio kusini Kata ya Azimio, Temeke  Bwana Iddy Njechele kuitisha mkutano wa wananchi katika Mtaa wake.

Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa maagizo  hayo alipozuru katika Mtaa huo na kupata wasaa wa kusikiliza kero na changamoto  za wananchi.

Akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Manispaa, DAWASA, pamoja kamati ya Ulinzi na Usalama alisikiliza kero mbalimbali za mtaa huo ikiwa ni Kukosekana kwa mikutano ya wananchi ndani ya mtaa, gharama za uondoshaji taka, TASAF, changamoto ya mradi wa  maji , Ulinzi shirikishi (SunguSungu) nk

Wananchi walieleza mbele ya Mkuu wa Wilaya kuwa gharama ya kuzoa taka ni kubwa ambayo ni 3000/= kila chumba, Maradi wa maji ulioko unamnufaisha mwenyeki wa mtaa, wanatozwa malipo ya ulinzi shirikishi wakati hakuna ulinzi unaofanyika.

Sambamba na hilo wamelalamikia TASAF kuwa hawaelewi sifa za mtu anayetakiwa kunufaika na TASAF, pia PASADA hawaelewi vigezo wanavyotumia kupata wanufaika licha ya kuwa inajulikana PASADA iko kwa ajili ya kusadia wananchi walioko katika mazingira mgumu.

Vilevile vile mwenyekiti aliyoko haitishi mikutano ya wananchi katika mtaa hiyo inachangia wananchi kukosa fursa za kujadili masuala ya kimaendeleo.

Aidha kutokana na changamoto na kero hizo Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa maagizo yafuatayo:

Mwenyekiti wa Mtaa kuitisha mkutano mkuu wa Mtaa ndani ya siku saba kuanzia leo, pia TAKUKURU wachunguze miradi wa maji katika mtaa huo vilevile Maradi wa maji uliopo kuanzia sasa utakuwa chini ya DAWASA.

Mhe Mkuu wa Wilaya pia ameagiza suala la taka na Sungusungu lijadiliwe katika mkutano mkuu wa  mtaa na mapendekezo yawasilishwe ngazi husika.

"Mwenyekiti wa mtaa wa azimio kusini usiwe mtawala uwe kiongozi ili kuondoa changamoto na kero za wananchi" Alisema Mhe Gondwe.

Kwa upande  wa TASAF Mkuu wa Wilaya amewaagiza idara husika kutoa elimu kwa wanufaika na kuweka wazi sifa zinazotakiwa ili kunufaika, na PASADA pia wafanye hivyo.

Mwisho mhe Mkuu wa Wilaya ameagiza kila kinachofanyika katika Mtaa au Kata kipite katika mfumo sahihi wa Kiserikali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke