• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Doris Primary School yatoa msaada wa nguo za michezo kwa wanafunzi wa UMITASHUMTA Manispaa ya Temeke.

Posted on: June 7th, 2019

Halmashauri ya ya Manispaa ya Temeke yapokea msaada wa  nguo za michezo (Track suit) 120 toka shule ya Msingi Doris iliyopo kata ya Kijichi katika Manispaa ya Temeke.

Akikabidhi  nguo  hizo Mkurugenzi wa Shule ya Doris ndugu Sospeter Kondela  alisema  track suit 100 ni kwaajili ya wanafunzi na 20 ni kwaajili ya walimu wasimamizi wa michezo, pia alibainisha kuwa shule hiyo itaendelea kusimamia suala zima la michezo kwani ni kigezo mojawapo cha taaluma kwa wanafunzi.

“katika kuhakikisha shule  zinarudi katika hadhi yake kimichezo , tumeamua kutoa msaada wa track suit hizi ili kuwapa motisha wanafunzi katika mashindano haya ya michezo yajayo.alisema Mkurugenzi wa shule hiyo.

Akipokea  jezi  hizo mbele ya Mkurugenzi  wa Manispaa ya Temeke, Mstahiki Meya Abdallah Chaurembo alisema amefurahishwa kwa jinsi ambavyo shule hiyo ilivyoonesha uzalendo kwa Manispaa yake, na kuwataka kuwa wazalendo kwa miaka mingine ili kuwapa wanafunzi hari na motisha katika suala zima la michezo mashuleni.Alisema Mstahiki Meya.

Nae Mkurugenzi Mwakabibi aliishukuru shule ya Doris Primary School kwa jinsi walivyoguswa na kuamua kuleta nguo hizo ambazo zitawasaidia kuleta hamasa  katika michezo.

“Kama Taifa ,mmeonesha uzalendo wa hali ya juu sana na kama Manispaa tunawajibu wa kuhakikisha michezo mashuleni inazingatiwa ili kuhakikisha afya ya ubongo kwa wanafunzi inaboreshwa”Alisema Mwakabibi

Akitangaza rasmi tarehe ya  ufunguzi wa UMITASHUMTA (Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania) Afisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Temeke Bibi Dafrosa Ndalichako ,alisema ufunguzi wa michezo ya  UMITASHUMTA itafanyika  Jumatatu ya tarehe 10/06/2019 katika uwanja wa Taifa, ndani ya Manispaa ya Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke