• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

''FUATENI SHERIA NA TARATIBU, SERIKALI ITAWAUNGA MKONO'' MKURUGENZI

Posted on: August 3rd, 2023

Na; Joanita Joseph

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Ndugu Elihuruma Mabelya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Mipangomiji  ya Baraza la Madiwani na wataalam wa Manispaa ya Temeke, leo hii 03 Agosti 2023 wamefanya ziara ya kutembelea viwanda na vituo vya mafuta , yenye lengo la kuona shughuli za uzalishaji, usalama wa wafanyakazi, ukaguzi wa vibali vya uendeshaji, nyaraka za malipo ya Serikali na kusikiliza changamoto zinazowakabili  pamoja na kutoa elimu juu ya usafi wa mazingira.


Miongoni mwa viwanda vilivyotembelewa ni kiwanda cha Polyback Ltd  kilichopo Kata ya  Mbagala kinachojihusisha na utengenezaji wa mifuko ya plastick, chenye idadi ya wafanyakazi takribani 700.


Akizungumza kwenye ziara hiyo Mkurugenzi Mabelya amepongeza uwekezaji mkubwa unaofanywa nchini na kusisitiza mshikamano baina ya Serikali na wawekezaji.


"Sera ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha viwanda vinafanya kazi havifi hivyo, fanyeni biashara na fuateni Sheria,Kanuni,taratibu na miongozo ya uwekezaji  na Halmashauri itawaunga mkono".Alisema Mkurugenzi huyo


Wajumbe wa Kamati hiyo pia wamekagua vibali mbalimbali na kutaka wawekezaji hao kuwa wawazi endapo watabaini changamoto yoyote itakayo athiri utendaji wao.


Kwa upande wake mwenyekiti wa Kamati ya mipangomiji Mhe. Juma Mkenga ambaye pia ni diwani wa Kata ya Miburani amepongeza uwekezaji huo wa viwanda kwa kuwa utasaidia kuongeza fursa za ajira kwa watanzania.


Manispaa ya Temeke ni moja ya Manispaa nchini ambazo zinategemea viwanda katika kukuza mapato yake na kutekeleza  miradi ya maendeleo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke