• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"HALMASHAURI HAKIKISHENI MNATENGA BAJETI YA KUTOSHA KUENDELEZA UMILIKISHAJI NA UPANGAJI WA MAENEO YENU" WAZIRI MABULA

Posted on: December 17th, 2022

Na; Nassoro Rashid

TMC Habari

Kauli hiyo imesemwa leo Disemba 17, 2022 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula wakati akiendesha zoezi la utoaji wa hati za ardhi lililosimamiwa na ofisi ya Kamishna Msaidizi wa ardhi Mkoa wa Dar es salaam kwa kushirikiana na halmashauri ya manispaa ya Temeke lililofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu wilayani humo.


Akiongea na Wananchi Mhe. Mabula amesema lengo la kuwasogezea huduma hiyo karibu ni kuweza kuwaimarisha na kuwawezesha kupata nyaraka sahihi na uhakika wa usalama wa miliki zao huku akiwasisitizia kuhakikisha kabla ya mwaka huu kuisha wawe wamerasimisha


"Mhe. Rais ameelekeza tuhakikishe kabla ya mda kuisha, wale wote wanaohitaji kufanyiwa urasimishaji wafanyiwe na hii ndo tunakwenda nayo kwa kasi, kwa mkoa wa Dar es Salaam na Halmashauri zake zote tano, idadi ya viwanja vilivyotambuliwa kwa ajili ya urasimishaji ni 610,689 kwa wilaya zote, michoro 2084 imeidhinishwa na viwanja 549,387 vimepangwa na vimeidhinishwa tayari kwa umilikishaji". Alisema Mhe. Mabula


Sambamba na hayo Mhe. Mabula amesema mpaka sasa umilikishaji umefanyika huku hati zilizoandaliwa ni 24689 kati ya viwanja vilivyoidhinishwa 549,387 kwa Mkoa wa Dar es salaam na kuwataka wananchi kutumia fursa hiyo ili kupata hati zao kadhalika ametoa maelekezo mbalimbali kwa viongozi wa Halmashauri na ofisi ya Kamishna Msaidizi.


"Hakikisheni Halmashauri mnatenga bajeti za kutosha kuweza kuendeleza zoezi la umilikishaji na upangaji katika maeneo yenu, naelekeza uandaaji wa hati kwa haraka kulingana na maombi yaliyokamilishwa, naelekeza ndani ya siku 14 kuhakikisha mnayafanyia kazi maombi ya hati na kuwapatia wananchi, naelekeza hakuna kutoa hati yoyote kwa mkono kama tulivyokuwa tunatoa zamani". Alisema Mhe. Mabula


Kadhalika Mhe.Waziri Mabula ameelekeza kabla ya mwaka huu kuisha makampuni yote ya urasimishaji ndani ya jiji la Dar es salaam chini ya usimamizi wa Kamishna Msaidizi kukaa kikao kazi pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri zote ili kuja na mikakati mahsusi ya kukwamua zoezi hilo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke