• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

''Hatutaki Barabara za Vumbi ''Mstahiki Meya Temeke

Posted on: December 11th, 2019

Mstahiki Meya Mhe. Abdallah Chaurembo (katikati) akiendesha mkutano wa baraza la Madiwani la Manispaa ya Temeke.Kulia kwake ni naibu Meya Mhe.  Juma Mkenga na Kushoto ni (Katibu wa baraza) kaimu mkurugenzi wa manispaa Ndg.Deogratius Lukomanya.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Chaurembo ameutaka Wakala wa barabara za Mijini na vijijini ( TARURA) wilaya ya Temeke kujielekeza katika kujenga barabara za lami,kwani kwa kufanya hivyo wataokoa fedha nyingi tofauti na ilivyo sasa ambapo fedha nyingi hutumka kufanya ukarabati wa barabara kwa sababu barabara zinatengenezwa kwa udongo hivyo mvua zinaponyesha udongo unasombwa na maji barabara zinabaki katika hali mbaya,hali inayosababisha kuhitaji matengenezo ya mara kwa mara.


Akizungumza katika mkutano wa barazara la madiwani ulichofanyika leo Desemba 11,2019 Mhe Chaurembo amemtaka meneja wa TARURA wilaya ya Temeke Mhandisi Nicholaus kufanya makadirio ya barabara zote zenye matatizo na kupeleka kwa Mkurugenzi,kupitia ofisi ya mkurugenzi mapendekezo yapelekwe kwenye vikao wao kama madiwani watayajadili makadirio hayo na kwa kuzingatia bajeti iliyotengwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa barabara,barabara hizo zitengenezwe.

‘’Sisi ndio tunaopitisha bajeti,tunapopitisha bajeti tutoe maelekezo nini tunataka.Katika bajeti, mwaka huu wa fedha tumetenga kiasi cha Sh. 900,000,000 kama mchango wa barabara TARURA, fedha hizo zinaweza kutumika kutengeneza barabara zetu kwa kiwango ambacho zitadumu.Barabara za vumbi hatuzitaki’’ Alisisitiza Mhe. Chaurembo.

Aidha Mhe. Chaurembo ametoa rai kwamba kwa sababu huwa inafahamika kuwa kuna misimu ya mvua,na kwamba baada ya mvua hizo barabara huharibika sana,ni vema wakatenga fedha kwa ajili ya dharura ya matengenezo ya barabara,barabara ziwe zinafanyiwa matengenezo ,ili kuwaondolea wananchi adha wanayoipata kutokana na kuharibika kwa barabara.


Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Temeke linakutana kwa siku mbili ,leo ikiwa ni siku ya kwanza. Baraza lilikuwa na ajenda 4, miongoni mwa  ajenda hizo  ni uwasilishaji wa taarifa  kutoka kwenye kata,ambapo kata zote 23 zimewasilidha taaarifa zake. Baraza litaendelea tena kesho Desemba 12.









Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke