• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

HOSPITALI YA KISASA YA WILAYA KUJENGWA CHAMAZI

Posted on: April 2nd, 2024

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Elihuruma Mabelya ameambatana na watendaji kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili, kujadili masuala mbalimbali ya kitaalam pamoja na kukagua eneo litakalojengwa hospitali ya wilaya ya Temeke katika eneo la Vikuruti Village, Chamazi.


Mkurugenzi Mabelya amesema


"Ni lengo na mipango ya halmashauri tuwe na hospitali kubwa ya wilaya ya Temeke, kwa ushirikiano na wenzetu wa Muhimbili baada ya maelekezo ya Serikali chini ya wizara ya afya, tumefika kujadili na kukagua eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo hapa Vikuruti, Chamazi na sasa tunakwenda kwenye hatua nyingine ya utekelezaji"


Akizungumza juu ya matarajio baada ya utekelezaji wa hospitali hiyo mkurugenzi Mabelya ameeleza kuwa


"Uwepo wa hospitali hii utakua tiba na utaondoa kero na mahangaiko ya Wananchi kwenda kufuata huduma mbali.


Kwa kuzingatia utaalam ambao wenzetu Muhimbili wanao na kwa ushirikiano tuliouanzisha tumejipanga katika eneo  la utoaji wa huduma, uwekezaji utahusisha idara na vitengo vinavyofanana kwenye eneo hili la Muhimbili. Uwekezaji utakwenda kwa kasi na wa utakuwa wa kisasa".


Kwa upande wake Daktari. John Rwegasha, mkurugenzi wa huduma za tiba hospitali ya Taifa Muhimbili amesema


"Tumekuja hapa kutekeleza agizo la Serikali kupitia waziri wa afya baada ya kusikia uhitaji wa Wananchi wa eneo hili kukosa kituo kikubwa cha huduma za afya.


Baada ya mchakato muhimu kukamilika, tumejipanga kuimarisha maeneo ya ushirikiano baina ya hospitali ya Muhimbili na hospitali nyingine za rufaa ili kuboresha huduma za afya na maslahi ya Wananchi  kwa ujumla"


Manispaa ya Temeke chini ya Serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, inaendelea kupokea maboresho makubwa katika sekta ya afya ambapo uwekezaji unafanywa kwa kujenga vituo vipya vya afya pamoja na kupanua hospitali zenye uhitaji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke