• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Kamati ya Fedha yafanya ziara na kujionea miradi ya maendeleo inayotekelezwa.

Posted on: February 4th, 2019

Kamati ya Fedha na Utawala imefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa ya Temeke.

Ziara hiyo iliongozwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Mh Juma Nkenga pamoja na Madiwani wanaounda kamati hiyo.

Katika ziara hiyo, wanakamati walifanikiwa kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa fedha za ndani pamoja na fedha toka Serikali kuu. Miradi hiyo ni pamoja na shule ya msingi Toangoma iliyopo katika kata ya Toangoma yenye jumla ya wanafunzi 3470 ambapo 22 miongoni mwao  wana tatizo la uoni(Wasioona)

Shule hii ilipata mradi wa vyumba vitatu vya madarasa,matundu 24 ya vyoo na mabweni mawili yenye uwezo wa kubeba wanafunzi 80 kila moja kwa ajili ya wanafunzi wasioona.

Sambamba na hilo Kamati ilitembelea shule ya Msingi Mgeni nani ambapo ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa vimekamilika na wanafunzi wanatumia madarasa hayo,vile vile ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Msufini pamoja na shule ya Msingi Faraja ambayo ilipata mradi wa kujengewa matundu 24 ya vyoo toka Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA , shule hii ipo katika kata ya Mianzini .

Pamoja na hilo kamati ya fedha ilitembelea na kujionea ujenzi wa barabara ya Mchumila inayojengwa wa kwa kiwango cha zege kwa kutumia vyanzo vya ndani na ina urefu wa Km 1.1

Kamati ilifurahishwa na miradi hiyo na hatua iliyofikia na kuwasisitiza wasimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha kiasi kilichotengwa kinaenda sambamba na hali halisi ya mradi husika ili kuepuka ubadhirifu wa fedha.

Pamoja na hilo Kamati ilijionea ujenzi wa kituo cha Afya Yombo Vituka kinachotarajiwa kukamilika 2020 na kinajengwa kwa makusanyo ya ndani, mpaka kukamilika kwa ujenzi huu kitaweza kuhudumia wakazi 108,309 wa kata ya Yombo Vituka na maeneo ya jirani.Jengo hili likikamilika litatoa huduma kwa wagonjwa wa ndani IPD ,huduma kwa wagonjwa wa nje OPD, Huduma za upasuaji, X-Ray, Ultra Sound, Huduma za kupunguza makali ya Ukimwi CTC na huduma za maabara. Mpaka sasa ujenzi huu umekamilika kwa asilimia 60%.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke