• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KAMATI YA LISHE TEMEKE KUJA NA KONGAMANO MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Posted on: November 11th, 2024

Na: Shamsi Dadi

       TMC Habari.


Leo Novemba 11,2024 kamati ya lishe halmashauri ya manispaa ya Temeke imefanya kikao cha robo ya kwanza (Julai-Septemba 2024-2025) kujadili mafanikio pamoja na changamoto mbalimbali za masuala ya lishe ikiwemo eneo la afya ya mama na mtoto.


Akizungumza katika kikao hicho Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda ameagiza kamati ya lishe kuhakikisha utafiti wa viashiria vya magonjwa yanayohusiana na lishe pamoja na chanjo kwa mama na mtoto ufanyike haraka ili kudhibiti na kumaliza kabisa magonjwa yatokanayo na lishe kwa mama na mtoto. Amesema


''Muda uliowekwa wa kuanza kutoa huduma ya chanjo kwa mama na  mtoto mpaka kufikia mwezi Mei, 2025 itakuwa mbali punguzeni ili kuwezesha huduma hii kufikiwa kwa haraka zaidi na itapendeza zaidi mkitengeneza misingi mizuri ya watu kujitokeza kwa wingi katika vituo mtakavyopanga''. Alisema Mhe.Sixtus Mapunda.


Kwa upande wake mratibu wa lishe bi. Happy Nkunda ameeleza lengo la kikao hicho ni kupitia viashiria kuanzia ngazi ya kata na ngazi ya halmashauri na kubainisha changamoto, mafanikio na kuweka mikakati ya kuboresha hali ya lishe ndani ya manispaa kwa kushirikiana na wadau na jamii husika.


"Tumeandaa kongamano la maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza ambapo tutahusisha elimu ya lishe,uchunguzi wa magonjwa kama shinikizo la damu,kisukari,tezi dume,saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti kuanzia Novemba 14-15 mwaka huu karibuni sana hapa hapa manispaa ya Temeke''.


Manispaa ya Temeke inaendelea kutekeleza kikamilifu mkataba wa lishe kuanzia ngazi ya kata kwa kushirikiana viongozi na wadau muhimu.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke