• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KAMATI YA SIASA MKOA WA DSM YAFURAHISHA UTEKELEZA WA MIRADI TEMEKE

Posted on: May 7th, 2025

Na: Sweetbetter Njige


Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Dar es salaam ikiongozwa na mwenyekiti wa chama ndugu Abbas Mtemvu imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya manispaa ya Temeke.


Akizungumza katika ziara hiyo iliyolenga kuhakikisha ilani ya Chama cha Mapunduzi (CCM) inatekelezwa ndani ya manispaa ya Temeke kwa upande wa miradi ya maendeleo (miundombinu) mwenyekiti Mtemvu amefurahishwa na jitihada zinazofanywa na manispaa katika usimamizi na ubora wa miradi. Alisema


“Kama wasimamizi wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es salaam, tunatoa pongezi za dhati kwa halmashauri ya Temeke na kwako mhe. mkuu wa mkoa kwa usimamizi mzuri. Shule kama hii haitaki maneno mengi kusema kwakua tunaona. Hakika mkoa wa Dar es salaam tumefanyiwa mambo mengi mazuri”


Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mhe. Albert Chalamila amesema


“Lengo hasa la ziara hii ni kutembelea miradi iliyotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita inayolenga kuhudumia Wananchi. Kwa mkoa wa Dar es salaam kama mnavyoona shule hii, tumekubaliana rasmi kutokana na ufinyu wa ardhi sasa tusiogope kujenga majengo kwenda juu na tutaenda hata kwa zaidi ya ghorofa 10 zenye kila kitu ndani (bweni,maabara, ofisi n.k) vyote kwenye jengo moja, mhe. Rais ametoa waraka maalum kupitia kwa mhe. Waziri Mchengerwa kila halmashauri ijenge majengo kama haya na atakuja kuzindua mwenyewe. Na kwa habari ya hapa mara baada ya ‘landscaping’ watoto wataanza kusoma hapa. Tunachipaswa kufanya sasa baada ya mhe. Rais kufanya haya yote ni kuhakikisha mwisho wa siku kila mtu anafanya kwa nafasi yake ili mtoto aweze kufaulu (walimu, wazazi, walezi, jamii na Wanafunzi wenyewe)”


Miongoni mwa miradi iliyotembelewa na kamati ya siasa ni ujenzi wa shule ya sekondari Mangaya iliyopo kata ya Mbagala, ujenzi wa hospitali wilaya iliyopo kata cha Chamazi na ujenzi wa kituo cha Polisi kata ya Toangoma.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke