• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Kamati za Mazingira Mkoa wa Dar es Salaam Zakutana

Posted on: September 3rd, 2021

Kamati za mazingira mkoa wa Dar es Salaam zimekutana katika hoteli ya Seashells Millennium. Mkutano huo ambao umeandaliwa na kuratibiwa na asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Lawyer’s Environment Action Team’ (LEAT) umefanyika leo Septemba 03, 2021.

Mkutano wa leo ni matokeo ya ziara za timu hizo kutembelea maeneo  mbalimbali yenye changamoto za kimazingira  katika  wilaya zote za mkoa huo ,ambapo lengo la mkutano huo lilikuwa ni kufanya uwasilishaji kuhusu changamoto zilizobainika wakati wa ziara hizo, hatua zilizochukuliwa, pamoja na kutoa mapendekezo ya nini kifanyike  ili kutatua changamoto ambazo bado zinahitaji utatuzi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti baada ya uwasilishaji, wajumbe wa timu hizo wameishukuru LEAT, ambapo wamesema kwamba kupitia Asasi hiyo wameweza kuyafikia maeneo mbalimbali yenye changamoto za kimazingira,na kwamba kutokana na wao kuweza kufika, changamoto nyingi zimeweza kutatuliwa, na nyingine zinaendelea kutatuliwa.

Kadhalika wajumbe hao wamesema kwamba LEAT imewawezesha kupata elimu katika masuala mbalimbali yahusuyo mazingira,wameweza kujifunza mambo mengi ambayo wataendelea kuyatumia kuelimisha jamii zinazowazunguka.

Naye mratibu wa mradi huo wakili Teresia Fabiani amewashukuru wajumbe wote kwa kuweza kushiriki mkutano huo, amesema kwamba wajumbe hao ni kiungo muhimu katika  utekelezaji wa shughuli za mradi, na kwamba anaamini kwamba wataendelea kufanya kazi pamoja ,kwa ushirikiano huohuo.

Kwa takribani miaka 2 sasa asasi ya ‘Lawyer’s Environment Action Team’(LEAT) kwa ufadhili wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Legal Services Facility,imekuwa ikitekeleza mradi wa kuwawezesha wanawake ,vijana na jamii kwa ujumla  katika mkoa wa Dar es Salaam kutambua haki yao ya kuishi katika mazingira safi na salama.Katika kutekeleza mradi huo, LEAT iliunda kamati  ya watu saba kutoka kila wilaya ,kwa kushirikiana na kamati hizo ambazo zinaundwa na wataalamu 4 kutoka Manispaa, Madiwani, watendaji wa Kata,watendaji wa Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa,imekuwa ikifanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutembelea maeneo yenye changamoto za kimazingira, kuainisha changamoto zilizopo na kuzitafutia utatuzi, ambapo utatuzi huo unahusisha wadau mbalimbali kama; Manispaa, Uongozi wa Mkoa , NEMC na ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke