• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KAMPENI YA USAFI WA MWISHO WA MWEZI KUJA NA MASHINDANO KATA KWA KATA

Posted on: April 29th, 2023

Na: Sweetbetter Njige-TMC Habari

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Mwanahamisi Munkunda amesema wilaya ya Temeke imejipanga kuja na mashindano ya usafi ambapo kwa Kata itakayokuwa safi zaidi itapata zawadi ili kuhamasisha usafi.


Amezungumza hayo leo Aprili 29,2023 alipoongoza zoezi la usafi wa mwisho wa Mwezi katika kata ya Yombo Vituka  alisema


"Huku Vituka watu wamejipanga wanafanya usafi, watu wa hapa wana muamko sana,hapa tunatekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Mbunge tumejipanga tunataka kwenye jimbo lako huu upande uwe wa mfano,tutaanza mashindano ya kata, kata itakayofanya vizuri itapewa zawadi ili kuendelea kuleta hamasa ya usafi kwenye mitaa yetu"


Aidha Mhe. Mwanahamisi ametoa maelekezo kwa viongozi wa Kata na Mitaa kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kufanya usafi na kupanda miti,alisema.


"Sambamba na kufanya usafi tunapaswa kutunza barabara zetu kwa kupanda miti, tuwafundishe jirani zetu , waje wajifunze usafi Yombo Vituka,natoa maelekezo kata hii, kila mtaa unawajibu wa kupanda miti elfu ishirini (20,000) kushoto na kulia mwa barabara, miti hiyo ikabidhiwe kwa Wananchi wenzetu wenye nyumba zilizopo pembezoni mwa barabara.Tunatamani mtu akija aione Yombo Vituka ya kijani"


"Niwapongeze Wananchi wenzangu wa kata ya Yombo Vituka kwa kazi nzuri ya usafi, mmemuonesha Mhe. Mkuu wa wilaya  ushirikiano mzuri, yeye ni muumini mzuri wa usafi, hii isiwe mwisho wa kufanya usafi, iwe ni kawaida yetu, Mtaa kwa Mtaa, Kata kwa Kata kila mwisho wa mwezi"


Aidha Mhe. Mwanahamisi ametoa wito kwa Wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu kwa kuzingatia usafi wa mazingira na chakula.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke