• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KIKAO CHA MTAKUWWA NGAZI YA WILAYA

Posted on: December 15th, 2022

TMC Habari.

Kamati ya ulinzi na usalama  wa mwanamke na mtoto manispaa ya Temeke leo 15 Dec 2022  imekutana na  kufanya kikao cha kikanuni cha robo ya 2,  ambacho kimejumuisha wajumbe kutoka idara mbalimbali.


Akitoa taarifa kwa upande wa jeshi la polisi-dawati la jinsia Inspecta Blandina Ndunguru amesema hali ya ukatili ni kubwa, lakini elimu imeanza kusaidia Wananchi kupata uelewa kwa kusaidiana na Maafisa Ustawi wa Jamiii.


"Jumla ya matukio 41 ya ubakaji yameripotiwa kwa kipindi cha Julai-Disemba,hali ya ukatili bado ni changamoto, lakini Wananchi wameanza kupata uelewa wa jumla juu ya ukatili kwa kupitia elimu wanayopata kutoka kwa Maafisa Ustawi wa Jamii, wanatambua ukatili ni nini na unafanyikaje, bado wanahitaji elimu zaidi, tunajitahidi kutoa elimu kila tunapopata nafasi katika mikutano na hafla mbalimbali".


Akieleza mafanikio yaliyopatikana kwa upande wa Mahakama mkuu wa mashtaka kutoka ofisi ya mashtaka kanda ya Temeke Bi. Anusiata Leopard alisema


"Mahakama imepunguza muda wa usikilizaji wa mashauri haya kutoka miezi 06 hadi kufikia miezi mitatu (03) tangu kusajiliwa na kuanza kusikilizwa, hii itasaidia kumaliza kesi hizi kwa wakati"


Kwa upande wa wadau PASADA chini ya mradi wa ACHIEVE wakiwakilishwa na ndugu Erick Tryphon kwa kazi kubwa wanayofanya katika kupinga ukatili wa kijinsia na watoto.


Manispaa ya Temeke kupitia idara ya Afya kitengo cha  Ustawi wa Jamii inaungana na Taifa na Wizara husika kupinga ukatili wa kijinsia na kuweka usawa katika jamii hasa kwa kutoa elimu kwa ngazi mbalimbali ikiwemo shule za Msingi na Sekondari.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke