• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

KITUO CHA AFYA MKONDOGWA CHAWEKEWA JIWE LA MSINGI

Posted on: April 24th, 2023

Na: Sweetbetter Njige- TMC Habari

Leo Aprili 24,2023 mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Mwanahamisi Munkunda ameweka jiwe la msingi katika kituo cha afya Mkondogwa kilichopo katika kata ya Chamazi wilaya ya Temeke kinachonjengwa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri.

Akiwa ameambatana na Meya wa manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika, mkurugenzi wa manispaa ndugu Elihuruma Mabelya, diwani wa kata hiyo Mhe. Gama na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali,Mhe. Mwanahamisi alisema viongozi waliopo Temeke ni mfano, na wanapaswa kuungwa mkono kutokana na utendaji wao, alisema

"Zamani haikua rahisi sana kufanya miradi kupitia mapato ya ndani, huu ni mradi mmoja kati ya vituo vya afya vitatu vilivyojengwa kwa mapato ya ndani katika mwaka huu wa fedha, hii inaonesha baada ya muda Wilaya, Kata na Mitaa itakua imeunganishwa na huduma za afya.Haya ni matunda yanayotokana na utulivu wa kisiasa na muungano wetu wa Tanganyika na  Zanzibar".

Kwa upande wake meya wa manispaa ya Temeke amesisitiza uzalendo, kujivunia maendeleo tunayoendelea kupata kama Taifa na kuthamini muungano hasa kwa vijana wadogo.

"Kizazi hiki kitambue Nchi yetu imetokana na muungano wa Tanganyika na Zanzibar,  tumetoka mbali. zamani huku kulikua na nini, lazima tujue Nchi ilikotoka na inakoelekea, Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein anafanya kazi kubwa sana, tusidanganywe na wasio wazalendo".

Naye mkurugenzi wa manispaa Ndg. Elihuruma Mabelya amesema Manispaa ya Temeke inaendelea kutekeleza maagizo ya Serikali hasa katika kutekeleza miradi ya afya kama ilivyo kipaumbele cha Serikali ya awamu ya sita.

Katika hatua nyingine diwani wa kata ya Chamazi Mhe. John Gama ameushukuru uongozi wa awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Uongozi wa Manispaa na Baraza la Madiwani kwa kuendelea kusogeza huduma za Kijamii katika kata hiyo.

Manispaa ya Temeke kupitia mapato ya ndani inatekeleza ujenzi wa kituo cha afya Mkondogwa ambapo shilingi 520,961,500 zinatarajiwa kutumika kukamilisha mradi huo ambao umefikia 70% na utahudumia wakazi wa kata hiyo yenye jumla ya mitaa 9. Kituo hicho kinajumlisha jengo la wagonjwa wa nje, jengo la wazazi na nyumba ya mtumishi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke