• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Maadhimisho Wiki ya Utumishi wa Umma.

Posted on: June 26th, 2018


Afisa Utumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke ndugu Rajab Mafuku, awaasa watumishi wa umma kuzingatia maadili,kanunina taratibu za kazi katika  sherehe za maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyofanyika jana katika kata ya Mbagala Jijini Dar es salaam

Katika salam zake alizozitoa kwa niaba ya katibu Tawala wa Wilaya, ndugu Mafuku aliwaasa watumishi  kurejeakanuni za kazi zilizoainishwa kisheria na kusimamiwa na Ofisi ya Rais menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora.

Akizungumza wakati wa kuhairisha sherehe hizo, ndugu Rajab  aliwaasa Watumishi kuzingatia misingiya utumishi wa umma.

''ninawataka kuhakikisha mnazifaham sheria na taratibu za kazi kwa kuzingatia kuwa utumishi wa umma unahusisha watu wengi, hivyo yabidi kutambua  kuna taratibu na miongozo mbalimbali ya kazi''. alisema

Pamoja na hayo aliwakumbusha kuhusu mahudhurio kazini, misingi ya utawala bora, mkataba wa huduma kwa mteja na misingi ya utumishi wa umma.

Vile vile aliwataka kuhakikisha ushirikishwaji wa wananchi ni wa hali ya juu kuanzia ngaziya Wilaya ili kuepusha sintofahamu zinazoweza kujitokeza.

''endapo wananchi watashirikishwa ipasavyo katika nyanja zote za maendeleo , hakika hapatakuwepo na msongamano wa malalamiko katika Ofisi  ya Mkuu wa Wilaya kwakuwa kila kero itatatuliwa kwa wakati pamoja na ushirikishwaji usioacha maswali  yakutokuridhika alisisitiza’’ Afisa Utumishi.

Nae Afisa kero wa Manispaa Temeke ndugu Robert  Hamis aliwataka watumishi kuhakikisha wahudumia wananchi kwa weledi ili kupunguza kero.

''tunaposhindwa kuwahudumia wananchi kwa kuzingatia maadili ya kazi tunasababisha kuwepo kwa kero nyingi mno hatimae kushindwa kufanya kazi kwa weledi kwa ustawi wa Manispaa yetu , hivyo basi  nawasihi tuzingatie maadili ya kazi ili tuwe Wilaya ya mfano katika maendeleo'' .Alisema

Wiki ya Utumishi wa Umma huadhimishwa kwa lengo la kukumbushana taratibu, kanuni na sheria za kazi katika kuhakikisha haki na usawa na usalama unakuwepo mahali pa kazi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke