• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MADIWANI TEMEKE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU USIMAMIZI WA MIRADI

Posted on: May 4th, 2021

Mhe Mstahiki Meya Abdallah Mtinika akiongea wakati wa mafunzo katika ukumbi wa Iddy Nyundo.

Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Temeke Mheshimiwa Abdalah Mtinika amefungua mafunzo kuhusu miradi ya maendeleo.

Mafunzo hayo  ya siku tatu yanafanyika katika ukumbi wa manispaa ya Temeke ujulikanao kama Iddi Nyundo,huku lengo likiwa ni  kuwajengea Madiwani uelewa kuhusu miradi ,uendeshaji na usimamizi wa miradi hususani mradi wa uendelezaji wa Mkoa wa Dar es Salaam(DMDP).

Sambamba na  kutambua vipengele maalum ikiwa ni pamoja na wajibu katika kuongoza na majukumu ya mradi,upangaji ,usimamizi na ufuatiliaji.Ushirikishwaji ikiwa ni pamoja na udhibiti na utambuzi wa viashiria vya hatari ya kukwama.

Akizungumza wakati wa hotuba yake ya ufunguzi Mhe. Mtinika ameishukuru menejimenti kwa kuandaa mafunzo hayo.

Mhe.Mtinika amesisitiza juu ya umuhimu wa mafunzo  hayo kwa Madiwani "Mafunzo haya ni muhimu sana kwetu,yatatujengea uwezo na wigo mpana wa kuyaelewa mambo  yote yanayohusu miradi ya DMDP.

Mhe. Mtinika amesisitiza  kuhusu ushiriki wa  Madiwani  katika siku zote za semina hiyo ambapo amesema" Tumekuwa na kiu siku nyingi ya kutaka kuyajua mengi kuhusu mradi  huu,sasa niwaombe mzitumie siku hizi tatu za mafunzo haya vizuri,ili tukitoka hapa kila mmoja awe na uelewa wa kutosha kuhusu mradi wa DMDP"

Nao madiwani walipohojiwa kwa nyakati tofauti  wamesema mafunzo hayo ni muhimu sana kwao, kama wasimamizi wa mradi na kwamba wanaamini baada ya  mafunzo hayo watakuwa na uelewa wa kutosha.

Mafunzo hayo ya siku 3 yanatolewa na waratibu wa DMDP ambao ni TARURA ambapo  mawasilisho ya leo siku ya kwanza,  yamefanywa na Mhandisi Laurent Kyombo na Mhandisi Kawawa.Aidha yanatarajiwa kufungwa May 05,2021.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke