• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Maelezo ya Janga la moto jengo dogo la afya Temeke

Posted on: April 22nd, 2020

MSTAHIKI MEYA MHE. CHAUREMBO AELEZEA JANGA LA MOTO  KATIKA JENGO DOGO LA AFYA TEMEKE .

 

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke  Mhe Abdallah Chaurembo leo ametoa maelezo kwa umma kufuatia janga la moto lililotokea jana tarehe 21/04/2020   katika moja ya jengo dogo la Idara ya Afya Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Saalam.

Akiongea ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari Mstahiki Meya amesema  "Jana kulitokea na kadhia ya janga la moto katika jengo letu dogo la idara ya afya ambalo lina ofisi tatu(3) na stoo mbili(2) , katika ofisi zote tatu moja imeungua mbili ziko salama na stoo imeungua moja nyingine iko katika hali nzuri".

Mstahiki meya Mhe Abdallah Chaurembo akitoa maelezo ya janga la moto ofisini kwake Manispaa ya Temeke makao makuu,


Ameeleza kuwa  chanzo cha moto huo hadi sasa hakijajulikana lakini viko viashiria ambavyo vinadhaniwa  kuwa ndio chanzo cha moto huo.Viashiria hivyo ni aina ya vitu  vilivyokuwa vinahifadhiwa katika stoo ambavyo vingi vilikuwa ni "skrepa" kwa maana ya vifaa vilivyokwisha kutumika.

Aidha vifaa vinavyofahamika ambvyo vilikuwepo ni "drum" 5 za chlorine kila moja ilikuwa na uzito wa Kg 40, pump za aina mbili, "motoride pumb" 2 na "hand pump" 1 hizo ni nzima, na pump mbovu zilikuwa ni "motoride pump" 6 na "hand pump 32".

Pia kama mnavyofahamu kwa taratibu za Serikali vifaa vilivyokwishatumika huwa vinahifadhiwa hadi pale taratibu zingine zinapofanyika kwa maana hiyo pia kulikuwa na matairi ya magari yaliyokwishatumika, kulikuwa na vitabu vya zamani,majaba makubwa mapya, ndoo za lita 20 zilikuwa 55 na ndoo lita 10 zipatazo 74 ambazo tulinunua na nyingine tulizopewa na wadau. Lengo hasa la vifaa hivyo ilikuwa ni kukabiliana na ugonjwa wa COVID 19 kuwawezesha wananchi kupata vifaa vya maji tiririka kwa ajili ya  kunawia mikono, kwa bahati nzuri baadhi tulishapeleka katika kila kata na zilizobaki ndio hizo zimeungua.

Katika jengo hilo hakukuwa na vifaa kama barakoa au hand sanitizer hizo zilikuwa katika ofisi zingine na tunaendelea kama kawaida na mapambano dhidi ya COVID 19. Kwa upande wa hasara iliyotokea mpaka sasa thamani halisi ya vifaa vilivyoungua haijajulikana na chanzo cha moto huo hakijajulikana wataalam wanaendelea na uchunguzi.

Baadhi ya picha ikionyesha athari ya janga la moto katika ofisi ndogo ya afya Manispaa ya Temeke,


Mwisho Mstahiki Meya amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari juu ya janga la  ugonjwa hatari wa Corona, Aidha Manispaa inaendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kutoa elimu na kuwasaidia wananchi katika maeneo mbalimbali kuhakikisha kuna vifaa vya kuwekea maji tiririka ili kupambana na kuenea kwa maambukizi ya COVID 19.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke