• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Magufuri mkombozi wa wazee Temeke

Posted on: July 19th, 2018


Wazee wa Temeke kata ya Mtoni wamemshukuru Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli kwa kutekeleza ahadi yake ya kutoa matibabu bure kwa wazee.

“namshukuru sana Rais wangu Mungu ajalie heri awe na moyo huohuo wakutukumbuka wazee,naskia hadi kulia (kilio) tulikua tunateseka sana wazee,ila leo tumeoneka” alisema Mzee Hamadi Mkaudya

Hayo yalisemwa leo wakati wa ugawaji  wa vitambulisho vya matibabu ya bure kwa wazee wa kata ya Mtoni Temeke.Ambapo wazee wlikusanyika kwa wingi katika ofisi yaMtendaji Mtoni  nakutoa shukrani zao mara tu baada yakupokea vitambulisho vyao.

Alipokua akiwakumbusha wazee ahadi ambazo Mh:Rais ametekeleza hadi sasa kupitia Irani ya Chama Cha Mapinduzi, Katibu tarafa Chang'ombe Bib:Agness Kyando ambaye alikua mgeni rasmi wa ugawaji  wa vitambulisho hivyo alisema ''serikali ya mapinduzi haijalala inahakikisha wananchi wake wanapata huduma bora katika kila sekta, kwa upande wa afya tuliahidi kutoa vitambulisho vya wazee kwa ajili ya matibabu bure sasa ahadi hii imetekelezeka''.

Aliongeza Bib: Kyando kupuuza na kutokusikiliza watu wanao pinga juhudi zinazofanywa na serikali kwa wananchi wake,badala yake wanajisafisha kwakusema wao ndio wamefanikisha juhudi hizo kwa malengo yao ya kisiasa.

Nae afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Temeke Bib:Mafole aliwakumbusha wazee umuhimu wa ustawi wa jamii katika jamii zao,hivyo endapo watapata tatizo lolote katika upataji huduma wasisite kutoa taarifa ili kupata msaada. Pia alisisitiza kuwa zoezi hili ni endelevu,hakuna gharama yoyote inayotozwa ili kupata kitambulisho.

Utoaji wa vitambulisho vya wazee ni moja kati ya ahadi na mikakati ambayo serikali inatekeleza kupitia irani ya uchaguzi ya ccm ili kuboresha afya za wazee kwakupata tiba bure. Hivi leo Halmshauri ya Manispaa Temeke ikiwa moja kati ya Halmashuri 5 zinazounda jiji la Dar es Salaam imetekeleza kwa kutoa vitambulisho katika kata zote 23 zilizopo katika Manispaa hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke