• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MAJIKO YA GESI 800 YATOLEWA BURE TEMEKE

Posted on: December 13th, 2024

Na: Sweetbetter Njige

       TMC Habari


Katika kuunga mkono jitihada za kinara wa ajenda ya nishati safi ya kupikia Nchini na barani Afrika mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,   mstahiki meya wa manispaa ya Temeke mhe. Abdallah Mtinika ameongoza zoezi la ugawaji wa majiko ya gesi 800 bure kwa wakazi wa manispaa ya Temeke.


Akiongoza zoezi hilo mheshimiwa Mtinika ameeleza umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa Mwananchi mmoja mmoja na taifa kwa ujumla huku akiweka msisitizo mkubwa katika kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabia Nchi.


Aidha mhe. Mtinika ameeleza kuwa manispaa ya Temeke imejipanga kumuunga mkono mhe. Rais kwa kuweka mpango wa matumizi ya nishati safi.


"Mheshimiwa Rais anayo nia njema na maono ya kuleta mabadiliko kwa mazingira yetu na kwetu binafsi, mama zetu wameumwa macho, vifua, mapafu kwasababu ya mkaa na kuni. Dunia imebadilika kimazingira kutokana na uchomaji wa mikaa (ukataji miti kiholela) maisha ya sasa yamebadilika gesi sio anasa tena ni hitaji muhimu na tupo hapa kufanikisha hilo kwa ajili yetu na mazingira yetu


Sisi kama halmashauri tumetoa pesa kununua majiko 800 kwa mwaka huu wa fedha lakini bado tutaendelea kumuunga mkono Rais wetu kwa kuweka utaratibu sahihi wa kufikia matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa 100%".


Kwa upande wake afisa maendeleo ya jamii na mratibu wa  uwezeshaji Wananchi kiuchumi bi. Glory Magushani amesema lengo kuu la ugawaji wa majiko hayo ni kuhamasisha makundi mbalimbali katika jamii hususani baba na mama lishe kutoka masoko mbalimbali kutumia nishati safi ya kupikia.


Kati ya makundi ya jamii yaliyopatiwa majiko ya gesi ni pamoja na kundi la walengwa wa TASAF, watu wanaoishi na VVU, watu wenye ulemavu, baba na mama lishe kutoka masoko mbalimbali, jukwaa la Wanawake wilaya ya Temeke.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke