• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Makangarawe wanufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini.

Posted on: June 8th, 2018


TASAF  awamu ya tatu imezidi kunufaisha wakazi wa Makangarawe  ndani ya manispaa ya Temeke, ambapo kiasi cha shilingi 97,610,000.00 (Milioni tisini na saba,laki sita kumi elfu) zimelipwa  kwa ajili ya ruzuku za msingi na ruzuku za masharti.

Akizungumza katika ziara hiyo Meneja mradi TASAF Makao makuu Bibi Elisifa Kinasha alisema, anayofuraha kubwa kwa ujio wa wageni hao toka Shirika la Maendeleo la Uingereza ambao wamekuja kujionea hali halisi ya utekelezwaji wa mradi huo, na kuridhishwa na jinsi mgawanyo wa fedha unavyozingatia vigezo na kunufaisha wananchi wa hali ya chini wanaohitaji msaada huo.

Aliwaeleza wanakikundi  hicho kuwa, endapo watatumia fedha hizo kwaajili ya kuwekeza na kufungua biashara ,wataweza kuzalisha na kuongeza kipato chao,Alisisitiza

Nae Isabela toka shirika la Maendeleo la Uingereza alisema ikiwa fedha hizo zitatumika na kuwafikia walengwa zitasaidia kupunguza tatizo la umasikini na kumudu gharama za maisha.

''Wanawake ni nguvu kazi ya maisha ikilinganishwa na wanaume, hivyo wananafasi  kubwa ya kuinua  uchumi ndani ya familia''.Alisema Isabela

Alisema licha ya wanawake wengi kujishughulisha na biashara ndogondogo bado wanakabiliwa na changamoto, ikiwa ni pamoja na mtaji mdogo  kutokushirikishwa katika maamuzi , ukosefu wa eneo la usindikaji wa vyakula, ukosefu wa elimu ya ujasiriamali, ukosefu wa mtaji wa utoshelezaji wa bidhaa wanazozalisha katika vikundi vyao, hali duni ya maisha pamoja na ukosefu wa maeneo ya kufanyia biashara zao.

Mwenyekiti wa kata ya Makangarawe ndugu Abdulkareem Lameck alishukuru kwa msaada huo na kuahidi kusimamia vema kundi ili kuhakikisha wanajikwamua kimaisha.

Mtaa wa Makangarawe una jumla ya wakazi 8,654 ambapo wanaume ni 4,164 na wanawake ni 4,490. Jumla ya kaya ni 2,190 hii ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1912. Kaya zinazonufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini ni 87.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke