• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MANISPAA YA TEMEKE YAPOKEA UGENI KUTOKA JIJI LA ARUSHA

Posted on: November 7th, 2023

Na, Joanita Joseph-TMC Habari


Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo Novemba 07, 2023 imepokea ugeni wa Waheshimiwa Madiwani pamoja na wataalamu kutoka halmashauri ya jiji la Arusha unaolenga kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utekelezaji wa majukumu ikiwemo ukusanyaji wa mapato ya ndani na uibuaji pamoja na usimamizi wa miradi ya Maendeleo.


Akizungumza katika kikao Cha mapokezi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika ametoa wito kwa viongozi kufanya mambo yatakayoiletea heshima Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wake Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa ni pamoja na kujifunza kwa wengine ili kupata mafanikio na hatimaye maendeleo kwa Taifa kiujumla.


Mara baada ya kikao hicho Ugeni huo ulipata fursa ya kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Manispaa hii ikiwemo soko jipya la kisasa Mbagala Zakhiem lililogharimu takribani Bilioni 2.4 likitarajiwa kubeba wafanyabiashara zaidi ya 400.


Vilevile walitembelea mradi wa ujenzi wa ghorofa 6 ikiwa ni upanuzi wa hospitali ya Mbagala Rangi Tatu unaotarajiwa kugharimu shilingi Bilioni 10.8 unaotekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani na ruzuku kutoka serikali kuu ambapo kukamilika kwake kutaboresha huduma za kiafya ikiwemo za kibingwa pamoja kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali hiyo.


Halkadhalika waliweza kutembelea miundo mbinu ya barabara ikiwemo na daraja la Nzasa-kilungule ambayo imesaidia kupunguza foleni na kuwaondolea adha wakazi wa kilungule na Buza kutokana na kushindwa kupita wakati wa mvua.


Kwa upande wake Naibu Meya wa jiji la Arusha Mhe Abraham Mollel amepongeza na kutoa shukrani kwa Uongozi wa Manispaa ya Temeke.

"Tunawapongeza sana Temeke na ziara hii imekuwa chachu ya maendeleo katika jiji letu, tunawashukuru sana na tukirudi Arusha tutakwenda kukaa na kujadili namna tunafanya mambo ambayo tumejifunza katika Manispaa hii" alisema Mhe. Mollel.


Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imekuwa ikipokea wageni kutoka halmashauri mbalimbali ikiwa ni moja ya nyenzo katika uboreshaji wa mahusiano na kujifunza mambo mbali mbali katika uendeshaji wa halmashauri na utekelezaji wa miradi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke