• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MANISPAA YA TEMEKE YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA GREDA

Posted on: January 20th, 2022


 Katika kuhakikisha inapunguza ama kumaliza kabisa kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika manispaa ya Temeke,Uongozi Halmashauri hiyo imeamua kununua "greda" kutokana na pesa za makusanyo ya ndani.

Akizungumza katika utiaji saini mkataba wa ununuzi wa mtambo huo,Mstahiki Meya wa  halmashauri ya manispaa ya Temeke Mheshimiwa Abdallah Mtinika amesema kuwa lengo la kununua vifaa vyote kamili vinavyohusika na ujenzi wa barabara ili kuondoa kabisa kero za wakazi wa Temeke.

"Napenda kuwahakikishia wanatemeke kuwa tutaendelea kuendesha Halmashauri hii katika misingi ya ukweli na uwazi....nakupongeza sana Mkurugenzi kwa busara hii kwa kulifanya jambo hili kwa uwazi ili watu wajue kwa sababu watu wanataka kuona sisi tunafanya nini".Alisema Mtinika.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari na wawakilishi wa kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa mitambo hiyo ya MANTRAC TANZANIA LIMITED,Mhe.Mtinika amesisitiza utunzaji wa mitambo hiyo huku akimshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ikiwezekana kuomba watumishi kutoka Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) wenye uwezo wa kusimamia na kuendesha mitambo hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndugu Elihuruma Mabelya aliwashukuru wananchi wa Temeke kwa kulipa kodi zilizowezesha ununuzi wa greda hilo.

"Greda hili Mstahiki Meya ni lao,sasa Temeke tutembee kifua mbele maana mambo mazuri yanakuja....nitumie tu nafasi hii tu kuwataka wananchi wenzangu wa Temeke kulipa kodi wasikwepe maana manufaa tunayaona".Alisisitiza Mkurugenzi huyo.

Greda hilo lenye thamani ya shilingi milioni mia saba sabini na tisa linatarajiwa kuwasili manispaa ya Temeke  wiki ijayo litakuwa mkombozi mkubwa kwa wakazi wa maeneo ambayo yana changamoto za miundombinu ya barabara katika manispaa hiyo yenye jumla ya kata 23.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke