• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Manispaa ya Temeke yazindua gari jipya la wagonjwa

Posted on: March 29th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh felix Lyaniva amezindua gari la wagonjwa ambapo litakuwa chachu ya huduma bora ya Afya kwa wananchi wa Manispaa ya Temeke.


Akikabidhi gari hilo alisema

"Ninawakabidhi gari hili likiwa jipya kabisaaa naomba mlitumie kama ilivyokusudiwa sitafurahi kusikia gari hilo linabebea mkaa au kufanya biashara nyingine zaidi ya kubeba wagonjwa tu" alisisitiza


Nae mstahiki Meya Mh Abdallah Chaurembo alisema "nimefurahi sana kwasababu malengo tuliyojiwekea kama halmashauri hatimae Leo yametimia,tumeweza kununua gari kwa mapato yetu ya ndani na bado tunampango wa kununua gari jingine ambalo litakuwa maalum kwaajili ya kukusanya mapato.


Sambamba na hilo Mkurugenzi wa Manispaa ya  Temeke Ndugu Lusubilo Mwakabibi aliwashukuru wafanyakazi wote kwa jinsi wanavyokusanya mapato kwa bidii.


"Nawapongeza kwa namna zoezi la ukusanyaji mapato lilivyoenda,nawashukuru kwa jinsi walivyofanya kazi katika hali zote bila kukata tamaaa na hatimae Leo matunda ya kazi ile tumeyaona kwa kununua gari la wagonjwa jipya kabisaa, hii ni historia ya kipekee kabisa.  "Alisema Mwakabibi.


Gari hilo la kuhudumia wagonjwa litahudumu katika hospital ya Zakhem-Mbagala  iliyopo Manispaaa ya Temeke na litapunguza tatizo la uhaba wa magari hayo hivyo wagonjwa kuhudumiwa kwa wakati na kurahisisha kutolewa  kwa mgonjwa toka eneo moja kupelekwa eneo lingine ili kupatiwa huduma bora zaidi.


Ifahamike kwamba utaratibu huu ni moja kati ya mikakati mingi ya Halmashauri ya Manispaaa ya Temeke ya kuhakikisha inakusanya mapato yake ya ndani toka kwa wananchi na kurudisha tena kwao kwa namna ya tofauti ikilenga kuboresha maisha ya wananchi wake, kama ilivyo kwa ujenzi wa kituo cha Afya  Yombo vituka.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke