• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MATARAJIO YETU KUCHANJA WAHUSIKA KWA ZAIDI YA 100%

Posted on: May 19th, 2022

Na Sweetbetter Njige,

Wilaya ya Temeke imezindua rasmi kampeni ya siku nne ya chanjo ya polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano (5) mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo Leo Mei 18,2022 katika kituo cha afya Buza-Temeke, kampeni itakayodumu kuanzia leo Mei 18- Mei 21,2022.

Akisoma risala mbele ya Mkuu wa wilaya mganga mkuu wa wilaya Daktari Irine Haule alisema anamatarajio makubwa ya kufanikisha kampeni hiyo kwa kishindo.

"Tayari tumeanza matangazo matika maeneo mbalimbali,wataalamu,watoa huduma na wasimamizi wetu wameshapewa mafunzo hivyo tunategemea kuchanja watu wanaokusudiwa kwa 100% na hata zaidi"

Akizindua kampeni hiyo DC Jokate aliambatana na Mshahiki Meya halmashauri ya manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika,mkurugenzi wa manispaa Ndugu Elihuruma Mabelya,Viongozi wa hospitali,mganga mkuu wa Wilaya Daktari Irine Haule,mratibu wa chanjo Temeke Jumanne Kagodah,viongozi wa dini na Wananchi hususan kina mama waliofika kuwapatia watoto chanjo ya Polio.

Mhe. Jokate alisema Wanatemeke kwa pamoja tuhakikishe watoto wetu wanapata chanjo ili kuwakinga dhidi ya maradhi ya kupooza na kuwakinga wengine kutoambukizwa magonjwa

"Kwanza kabisa nampongeza mganga mkuu wa hospitali hii kwa kuitunza kwa kweli ni mfano wa kuigwa ipo kama tulivyoikabidhi,lakini muhimu zaidi niipongeze serikali yetu ya awamu ya sita kwa juhudi za inazofanya,mgonjwa wa mwisho aliripotiwa 1996 inaonesha juhudi zinalipa,kampeni hii inalenga kuongeza uelewa juu ya ugonjwa,kuwafikia watoto wengi zaidi sasa tunaomba Viongozi wetu Madiwani,viongozi wa dini kuhamasisha juu ya hili".

Aidha DC Jokate amekemea upotoshaji unaofanywa na baadhi ya Watu juu ya utoaji wa chanjo mbalimbali nchini

"Sisi tukawe sehemu ya kampeni kwa kuwa mabalozi,tukaepushe upotoshaji,watu wakaelewe athari na namna gani ya kujikinga dhidi ya Polio,rai yangu tukatoe ushirikiano kwa maafisa watakaopita kutoa chanjo hata kama walishapata katika ratiba zaoza clinic. Nasisitiza,tukaulize maswali kwa wataalam" Alieleza Mkuu wa wilaya.

Naye Mshahiki Meya Abdallah Mtinika alitoa shukrani zake kwa Wananchi waliohudhuria tukio la ugunguzi na kuendelea kuwapongeza Wanawake kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika mambo mbalimbali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke