• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"TUNATAKA KUWEKA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI" DEOGRATIUS LUKOMANYA.

Posted on: January 28th, 2021

Mkutano maalum uliowakutanisha wawekezaji,taasisi za kiserikali na mashirika ya umma umefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa temeke huku wawekezaji wakihakikishiwa mazingira bora ya uwekezaji.

Akizungumza pembeni mwa mkutano huo,Mkuu wa Idara ya mipango,Takwimu na Ufuatiliaji wa manispaa ya Temeke Bw Deogratius Lukomanya alisema kuwa halmashauri hiyo imejipanga kutatua kero na changamoto zinazoikabili sekta hiyo ili kuleta mazingira rafiki kati ya taasisi hizo na wawekezaji.

"Kikao chetu kimeenda vizuri na hata hawa wawekezaji wameuliza maswali ambayo mengine yamepatiwa ufumbuzi papo hapo na mengine yanayohitaji majibu zaidi yatatafutiwa majibu".Alisema Bw Deogratius.

Kwa upande wake Afisa mkuu matekelezo wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi(WCF) Bw Paschal Richard alibainisha kuwa changamoto kubwa wanayokutana nayo ni uelewa mdogo wa waajiri na waajiriwa pale inapotokea mwajiriwa amepata majeraha au ulemavu anapokuwa eneo la kazi.

"Sisi tunapopata taarifa za mwajiriwa hata kama michango yake haijaanza kutumwa na kama ameapata tatizo la kuumia akiwa kazini tunafuatilia mara moja".Alisitiza Bw Afisa huyo.

Naye mwakilishi wa kampuni ya ALAF Bw.Petro Kapembwa alielekeza malalamiko yake kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO) juu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara hali inayowasababishia hasara kubwa.

Mbali na hilo mwakilishi huyo alielezea changamoto nyingine inayowakabili ni kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo iliunganishwa na kupelekea waajiriwa kuwa njia panda wasijue wapi pa kwenda.

"Kuna mkanganyiko mkubwa kwa mfano mimi napata maelekezo kutoka Temeke kwa kiongozi wangu lakini kuna matawi mengine mikoani,nawezaje kutumia maelekezo ya Temeke nikiwa huko mikoani?"Alihoji Bw. Petro.

Mkutano huo ulishirikisha makampuni binafsi,mashirika ya umma,taasisi za kiserikali pamoja na uongozi wa manispaa ya Temeke na kwa pamoja wamekubaliana mkutano huo ufanyike kila baada ya miezi mitatu.













ReplyForward













 





Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke