• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MD SATURA ATOLEA UFAFANUZI HOJA ZA WANA TEMEKE

Posted on: February 12th, 2025

Na: Sweetbetter Njige, TMC Habari


Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg. Jomaary Mrisho Satura ametolea ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali zilizowasilishwa na Wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ikiwemo kuondolewa kwa Machinga wanaofanya biashara mbele ya nyumba au maduka binafsi, kuhusu maombi ya kutwaa uwanja wa TEFA kwa matumizi ya machinga na masuala mengine mbalimbali.


Ndg. Satura amejibu hoja ya Mwananchi aliyehoji juu ya "watu kufungiwa kwenye kontena" wanapokutwa na makosa na kupelekwa Manispaa. Amefafanua


"Tofauti na ilivyo kwa Halmashauri nyingi nilizopita (zilikua na vyumba kwa ajili ya kupumzishia watu) kila halmashauri ina kituo rasmi na msimamizi wa kituo wa level ya RPC kwa ajili ya enforcement ya sheria. Tumeghairisha hatutumii tena kontena kwa sasa badala yake tunawaweka nje chini ya ulinzi wa askari kutokana na kukosa vyumba"


Mkurugenzi Satura ameeleza nia njema ya Manispaaa kushiriki katika maendeleo endelevu ya Taifa kupitia mpango wa "biashara kwa saa 24" kwa kutekeleza miundombinu muhimu amesema


"Tunao mpango wa kuendeleza eneo hili la Tandika kwasababu ya mambo mawili, moja, kuvutia uwekezaji kutokana na kutengeneza uhakika, pili, kuweka viwango vya fidia na utwaaji wa maeneo utakua realistic"


Mkurugenzi Satura ametoa wito kwa Wafanyabiashara wadogo (machinga) kufanyabiashara zao kwenye maeneo rasmi ili wasipitwe na fursa muhimu hususani za kiuchumi zinazotolewa na Serikali.


Niwahakikishie tumekua na jitihada nyingi kama walivyosema tunapotaka kutoa fursa,kama mikopo ya 10% ni ngumu kujua utawapata wapi kutokana na kutokukopesha wakiwa kwenye maeneo yasiyo ramsi. Tunalenga kuwalasimisha ili wapate mikopo na kuchangia pato la serikali".


"Tumepata mahitaji ya taa 45 kwa eneo hili ili muweze kufanya biashara vizuri. Naamini baada ya kuona Wananchi wa Tandika walivyokupokea utakuja kufanyia uzinduzi wa, biashara masaa 24 hapa".

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke