• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MEYA MTINIKA AWAPOKEA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA STAHIKI YA NGUVU KAZI

Posted on: November 1st, 2024

Na: Joanita Joseph

      TMC Habari.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika leo Oktoba 30, 2024 amewapokea Washiriki wa Mafunzo ya teknolojia stahiki ya nguvu kazi yanayotolewa katika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) waliofika katika Manispaa ya Temeke kwa lengo la kwenda kuona na kujifunza kwa vitendo Miradi iliyotekelezwa chini ya Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutumia teknolojia ya nguvu kazi.


Akizungumza katika Viwanja vya Manispaa ya Temeke Mhe. Mtinika amesema


'sisi Temeke tumeendelea kuwa walezi na wapokeaji wa jambo hili, mafunzo yenu ni muhimu sana mkimaliza mji 'organize' kwenye vikundi haraka ili muweze kuchangamkia fursa zilizopo katika halmashauri zetu za mikopo ya 10% kwa kundi la Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu zilizopo katika halmashauri zetu ili mje mtumikie Nchi yenu na mfanye malengo yaliyokusudiwa'


Aidha Mhandisi Paul Mhere, Meneja TARURA wilaya ya Temeke amesema


'Serikali inatenga 30% kwa ajili ya makundi maalum yaani vijana, wanawake na walemavu kutumia teknolojia stahiki ya nguvu kazi katika miradi inayotekelezwa, na sisi TARURA tukiwa wadau wa jambo hili tumekuwa tayari na tutaendelea kutoa ushirikiano kwenu ili kuhakikisha tunakuza viwango vyenu kwa manufaa ya Nchi yetu' alisema Mhandisi Mhere.


Miongoni mwa elimu wanazopatiwa Washiriki wa Mafunzo hayo ya muda mfupi katika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya ni pamoja na elimu ya usalama kazini, usafi, ubora, ufunguaji wa kampuni zinazojihusisha na teknolojia ya nguvu kazi stahiki.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke