• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"MHE. RAIS ANATAMANI KILA KILA MWANAMKE MJAMZITO ARUDI NYUMBANI NA MTOTO" DC MUNKUNDA

Posted on: February 2nd, 2023

Na: Nassoro Rashid  

TMC Habari.


Ni kauli yake Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Mwanahamisi Munkunda aliyoitoa leo Februari 02,2023 alipotembelea wodi ya Wazazi na Watoto wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke.

Akizungumza katika ziara hiyo ambayo iliambatana na zoezi la upandaji miti, Mhe. Munkunda amesema, maelekezo na msisitizo wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatamani hata Mama mmoja apoteze mtoto wake anapokwenda kujifungua hospitalini, na kwamba Serikali inaendelea kuboresha sekta ya Afya ili kuimarisha utoaji huduma  kwa Wananchi wake.

"Kwahiyo Serikali inaendelea kuziboresha huduma mbalimbali za afya ili kila Mwanamke anayepata ujauzito anapokuja kujifungua apatiwe huduma bora na njema, anapoondoka kurudi nyumbani,aondoke akiwa salama yeye mwenyewe pamoja na mtoto wake." Alisema Mhe. Munkunda

Aidha Mhe. Munkunda amewashukuru Wananchi wa Temeke kwa mapokezi mazuri mara baada ya kufika, na ameahidi kuwa atawapa ushirikiano wa kutosha ili kujenga umoja na mshikamano wa kupanga maendeleo na kutatua changamoto za Temeke.

"Ndugu zangu muunganiko huu wa Wadau, Serikali na Watumishi unaonesha utayari ,na jinsi ambavyo hatutaki afya zetu zipate shida. Maana yake mkiungana kwenye jambo lolote lazima mfanikiwe, kwani hatuwezi kufanya kazi za kijamii kama afya zetu hazitakuwa vizuri, na mimi niwahakikishie Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya  Afya. Kwa ujumla tunataka Tanzania iwe kituo cha matibabu na amani." Alisema Mkuu huyo wa Wilaya

Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Joseph Kimaro amesema katika kuboresha huduma za afya kwa sasa wana madaktari Bingwa 28 hivyo wanatarajia kuanza kutoa huduma Bingwa za mikojo na kusafisha damu, na wamedhamiria kumuunga mkono Mhe Rais kwa kutoa huduma bora za afya kwa Wananchi.


Matangazo

  • TANGAZO: KUFUNGA VITUO VYA DAYCARE January 29, 2023
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA January 06, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • TANGAZO: KUWASILISHA HESABU (TURNOVER) February 13, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KILIO CHA KIVUKO KATA YA MIANZINI CHAFIKA MWISH0

    March 25, 2023
  • "TUTAPAMBANA NA KIPINDUPINDU KWA USAFI" MHE. AMOS MAKALLA

    March 25, 2023
  • MTAKUWWA TEMEKE YADHAMIRIA KUDHIBITI VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO

    March 24, 2023
  • WANAHABARI WANA JUKUMU LA KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA KIFUA KIKUU-MHE. UZAHILU

    March 24, 2023
  • Angalia zote

Video

RC MAKALLA AONGOZA ZOEZI LA USAFI MBAGALA
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke