• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MHE.MTINIKA: SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM NA WANANCHI WA KIMBANGULILE

Posted on: April 1st, 2023

Na: Sweetebtter Njige-Habari TMC

Katika kuendeleza kampeni ya Safisha Pendezesha Dar es Salaam iliyoasisiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Amos Makalla leo Aprili 01,2023 mstahiki meya wa halmashauri ya manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Mtinika ameendesha zoezi la usafi katika vichaka vya mto Mzinga,mtaa wa Kimbangulile kata ya Kibondemaji, eneo lililokua likitumiwa vibaya na baadhi ya Wananchi kufanya waovu.

Akizungumza baada ya zoezi hilo Mhe. Mtinika amempongeza Mhe. Makalla kwa kuanzisha kampeni hiyo iliyoleta msukumo wa ufanyaji usafi jijini humu, na kuwashukuru Wananchi wa Kimbangulile kwa kujitokeza na kusafisha eneo hilo la Umma.

"Nilivyopewa taarifa kuhusu hapa nilisema sisi tuna kampeni ya "Safisha Pendezesha Dar es Salaam" tukiishusha kampeni yetu hapa tiba itapatikana, mmejionea wenyewe pamesafishika, na tutaendelea kufanya finishing hapa, tutaweka mikakati ya kulinda hili eneo na kuweka mambo yenye tija badala ya kufuga vichaka. Haya ni matokeo chanya ya Safisha Pendezesha Dar es Salaam, naamini kuanzia leo sisi Wananchi tutakua walinzi wa eneo letu"

Kwa upande wake mwenyekiti wa mtaa huo Ndg. Abdulhaji Kessy amemshukuru Mhe. Mtinika, Wananchi na Watendaji wa Manispaa waliojitokeza katika kampeni hiyo kwa kazi kubwa waliyofanya ya kusafisha na kupendezesha eneo hilo.

"Hapa kulikua na matukio mengi ya uhalifu, Wananchi wakaona kuna haja ya kuwashirikisha Viongozi wetu, tukakubaliana na Meya akaja hapa, na leo tumefanikisha.

Wananchi wa mtaa wa Kimbangulile wameonesha kuwa  mstari wa mbele kupinga vitendo vya uhalifu vilivyokua vikifanyika katika eneo hilo  kwa kujitokeza kwa wingi leo kushiriki kampeni hiyo iliyoongozwa na Mstahiki  Meya Mtinika , huku wakiahidi kujitokeza kwa wingi wiki inayofuata.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke