• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MICHEZO IENDANE NA UZALENDO-DC MATINYI

Posted on: August 27th, 2023


Na: Joanita Joseph

TMC Habari


Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Mobhare Matinyi, leo Agosti 27, 2023 amekipongeza Chama cha Mbio za Mwendo wa Polepole (Temeke Jogging Association- TEJA), kwa kuandaa tamasha kubwa lililojumuisha mikoa yote ya Zanzibar na mikoa 12 ya Tanzania Bara.


Mhe Matinyi aliyekuwa akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Albert Chalamila amepongeza uzalendo uliooneshwa na chama hicho kwa kuandaa zoezi la upimaji afya pamoja na uchangiaji damu kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Temeke sambamba na kauli mbiu ya mwaka huu ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa watoto na wanawake na kupinga mahusiano ya jinsia moja.


"pamoja na uanamichezo lakini mmejali pia wahitaji na hii ndivyo inavyotakiwa Michezo iendane na uzalendo"


Kabla ya kugawa vyeti kwa wadhamini na washiriki, Mhe. Matinyi amewasilisha salamu za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwapongeza washiriki wa 'jogging' hiyo kwa kujali afya zao kupitia mazoezi, kuchangia damu na kupinga unyanyasaji wa kijinsia.


"Mhe. Mkuu wa Mkoa amenituma niwasilishe salamu za Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiongozi mwanamichezo, kwenu nyote washiriki " alisema Mhe. Matinyi.


Katika risala yao, TEJA kwa niaba ya mamia ya wakimbiaji, wamemwomba Rais ashiriki nao katika mbio hizo za mwendo wa pole pole katika siku za usoni.


Aidha, Mhe. Matinyi pia amewasilisha pongezi na shukrani kutoka kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwa wanamichezo hao kuchangia damu; Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana, kwa wananchi hao kujali michezo; na pia kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, kwa washiriki hao kuunga mkono juhudi za serikali kupiga vita unyanyasaji kwa watoto na wanawake.


Tamasha hilo la mbio za mwendo wa polepole wa umbali wa kilomita sita limefanyika kuanzia Kigamboni kwenye daraja la Mwl.Julius Nyerere hadi Uwanja wa Uhuru, likiongozwa na Mhe. Matinyi pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho Mhandisi Rashid Pazi na Makamu wake Janet Maseke.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke