• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MIKATABA YENYE THAMANI YA BILIONI 50 YASAINIWA KUBORESHA MIUNDO MBINU MANISPAA YA TEMEKE

Posted on: October 24th, 2024

Na: Joanita Joseph


Leo Oktoba 24, 2024 Historia mpya imeandikwa katika Nchi Yetu hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) katika Viwanja vya Mwembeyanga Temeke ameshuhudia Utiaji Saini wa takribani Mikataba 8 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 190 (190,040,361,931.41) kwa ajili Ujenzi wa Barabara na Miundo mbinu muhimu katika halmashauri zote tano Jijini Dar es Salaam kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase Two)


Akizungumza katika hotuba Yake Mhe. Mchengerwa amesema


'Ujenzi wa mindombinu hii hakikisheni inazingatia thamani ya fedha na mahitaji ya Wananchi, tunapokwenda kwenye Ujenzi wa Masoko hakikisheni Masoko haya yawe ni yale yenye uhitaji kwa wananchi'


Miongoni mwa Mikataba hiyo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imepata mitakaba 2 yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania 50,025,554,462 kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara zenye Urefu wa Km 13.04.


Barabara hizo ni Nduguru 1.64 km, Masako 3.91 km, Maandazi 2 km,  Madaraja ya Miguu (Chaurembo 1 na 2), Songambele 0.32 km, Mwakalinga 1.07 km, Markas 0.48 km, Majimaji 0.32 km, Magorofani 0.31km, Igome/Yemen 0.85 km, Diwani 0.67 km, Keko Machungwa 0.57 km, na Basri O.9 km ambapo zote zitajengwa na Mkandarasi CRJE (EA) Ltd.


Mradi wa DMDP Awamu ya Pili uliobeba thamani ya Dola Milioni 438 za Marekani ni muendelezo wa yaliyofanywa katika Awamu ya Kwanza ya mradi huo katika Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam hususan kwenye Uboreshaji na Ujenzi wa Miundombinu Muhimu ili kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora, ambapo kwa Awamu hii ya Pili Mradi huu unatarajia kuboresha Mtandao wa Barabara kwa Zaidi ya kilomita 250, kilomita 90 za mifereji mikubwa ya maji ya mvua, vituo 9 vya mabasi, masoko 18 na madampo matatu ya Kisasa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke