• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI MABELYA ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA WADAU WA USULUHISHI 2023

Posted on: January 16th, 2024

Na: Joanita Joseph 

TMC habari


Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke Ndg. Elihuruma Mabelya akiambatana na Mkuu wa idara ya huduma za sheria Manispaa ya Temeke Adv. Faraja Nakua leo Januari 16, 2024 amehudhuria hafla ya utoaji tuzo za wadau wa usuluhishi 2023, mahsusi kwa ajili ya kutambua michango ya wadau mbalimbali ndani na nje ya mahakama waliofanikisha utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala ya usuluhishi zilizotolewa na Mahakama kuu Tanzania kituo cha usuluhishi katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention Center (JNICC) jijini Dar es salaam.


Sambamba na utoaji tuzo hizo washiriki walipatiwa elimu ya utatuzi mbadala wa migogoro (Alternative Dispute resolution (ADR) ikiwemo aina mbalimbali za usuluhushi kulingana na aina za kesi pamoja na faida na hasara zake. Lakini pia kumefanyika mijadala mbalimbali iliyoendeshwa na wabobezi katika sheria ikiwemo vikwazo vya kimuundo vinavyoathiri mafanikio ya usuluhishi, na jinsi gani mfumo wa usuluhishi unaweza kuimarishwa hapa Nchini.


Hata hivyo wabobezi hao wamesisitiza ni vema mfumo wa usuluhishi na upatanishi (mediation) ukahamasishwa zaidi kutumika badala ya kuvutana kwa hoja mahakamani( litigation) ili kuokoa muda unaotumika katika uendeshaji wa kesi kwa njia ya kawaida na kupunguza mrundikano wa mashauri mahakamani.


Hafla hiyo iliyobeba kauli mbiu ya "kwanini sio upatanishi" ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma Hamis imehudhuriwa pia na waheshimiwa majaji, manaibu wasajili, mahakimu wafawidhi, mawakili wa serikali na wa kujitegemea, makatibu wakuu, wakurugenzi wa taasisi mbalimbali za serikali na za kibenki, pamoja na viongozi mabaraza ya ardhi, wilaya na kata.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke