• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI MABELYA AWAKUTANISHA VIJANA KWENYE MICHEZO, ATOA WITO KUTUNZA MAZINGIRA

Posted on: May 19th, 2024

Na:Shalua Mpanda-TMC


Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya amekutana na wanamichezo pamoja na wasanii wa muziki wa singeli kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa Jamii kuhusu utunzaji wa mazingira na kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.


Akizungumza leo hii Mei 19,2024 mara baada ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa wanamichezo na wasanii hao katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke, Mkurugenzi huyo amesema michezo inakutanisha watu wengi na ni rahisi kufikisha ujumbe kwa Jamii kupitia michezo na sanaa.


"Tunaunga mkono juhudi za Serikali katika kukuza na kuendeleza michezo nchini, mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunasonga mbele kwenye sekta hii ya michezo.....Na sisi kama Manispaa tumeamua tufikishe ujumbe wa kutunza mazingira na kushiriki Uchaguzi kwa njia hii".Alisisitiza Mabelya.


Aidha amekabidhi vifaa vya michezo zikiwemo jezi na mipira kwa timu ya mpira wa kikapu ya Temeke pamoja na vifaa vya mazoezi kwa bondia mkongwe hapa nchini Rashid Matumla "Snake Boy" ili kuhamasisha mchezo wa ngumi wilayani Temeke.


Baadhi ya wasanii ambao nao walipewa zawadi kwa kutambua mchango wao katika Jamii wamemshukuru Mkurugenzi huyo kwa kuwa mstari wa mbele kutoa motisha kwao hali inayowapa chachu ya kuendelea kufanya vizuri.


"Kiukweli Serikali inatupa nguvu sana ya kupambana,Sasa hivi tunaitwa kwenye shughuli za Serikali na unapoona mpaka viongozi kama hawa wanakuita kukupa zawadi kama hizi inapendeza sana".Alisema Kidene Fighter(msanii wa Singeli).


Mkurugenzi Mabelya ameahidi kuendelea kuwaunga mkono kila mara atakapopata nafasi ya kufanya hivyo na amesema lengo la viongozi wa Manispaa akiwemo Mstahiki Meya Abdallah Mtinika na Baraza la Madiwani ni kuona Temeke ambayo ni kitovu cha michezo inakuwa na timu zinazoshiriki ligi ngazi za juu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke