• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKURUGENZI TEMEKE AONYA MADALALI SOKO LA MTONI.

Posted on: April 1st, 2022

Likiwa limekamilika kwa asilimia mia moja soko jipya la Mtoni liliojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es salaam(DMDP),Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Elihuruma Mabelya ametoa onyo kwa wanaotaka kutumia soko hilo kinyume cha utaratibu.

Onyo hilo amelitoa leo Aprili 1,2022 alipokuwa akikagua kabla ya kukabidhiwa soko hilo na mkandarasi aliyejenga soko hilo lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.4.

"Kuna tabia ya wafanyabiashara kuchukua vizimba na kuvikodisha kwa wenzao,kwa hili sitalivumilia na mimi kama kiongozi wa Halmashauri nasema  madalali soko la Mtoni hapana".Alisema Mabelya

Akifafanua zaidi Mkurugenzi huyo amesema kuwa soko hilo litakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi 395,353 wa kata hiyo ya Mtoni na kata za jirani.

Soko hilo lenye jumla ya vizimba 209 pamoja na maeneo ya wazi linatarajiwa kuwa chanzo kikubwa cha mapato huku ikikadiriwa kwa mwezi kukusanya zaidi ya milioni 20 huku kwa mwaka litarajiwa kukusanya milioni 251.

Mwenykiti wa soko hilo Bw Hemed Pazi ameishukuru Serikali kwa kuboresha mazingira ya kufanyia biashara tofauti na ilivyokuwa mwanzo.

Ni wakati muafaka sasa kwa wananchi na wafanyabiashara hao kutunza miundombinu ya soko hilo hili liweze kuleta tija.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI, 2022. May 08, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA: UFAFANUZI KUHUSU WANAFUNZI KUKAA CHINI April 23, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA March 24, 2022
  • TANGAZO LA USAILI KAZI YA UKUSANYAJI ANWANI ZA MAKAZI February 25, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BILIONI 2 ZATOLEWA KUFANYA UPANUZI HOSPITALI YA MBAGALA RANGITATU

    May 26, 2022
  • MATARAJIO YETU KUCHANJA WAHUSIKA KWA ZAIDI YA 100%

    May 19, 2022
  • MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.4 YATEMBELEWA NA MWENGE WA UHURU TEMEKE

    May 14, 2022
  • WANATEMEKE TUUNGANE, TUFANIKISHE JAMBO LETU KWA KISHINDO.

    May 10, 2022
  • Angalia zote

Video

FAHARI YA KULIPA KIBALI CHA UJENZI KWA MAENDELEO YA MANISPAA NA KUEPUSHA UJENZI HOLELA.
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke