• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkurugenzi Temeke Ataka Utunzaji Miundo Mbinu

Posted on: May 10th, 2019

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndg. Lusubilo Mwakabibi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Marten Lumbanga kwa ajili ya Ukaguzi Aliyesimama katikati ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Mwl. Mgoha Mwende.

Baadhi ya majengo ya shule ya msingi Marten Lumbanga kama yanavyoonekana.Shule hii ni mpya, imeanza kutumika rasmi 29/04/2019.

Afisa elimu Msingi ( Aliyesimama) Mwl. Dafroza Ndalichako akitoa utambulisho wakati wa ziara ya Mkurugenzi shuleni  MartenLumbanga Aliyekaa upande wa kushoto ni Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndg. Lusubilo Mwakabibi.

Wajumbe wa kamati ya ujezi wa shule ya msingi Marten Lumbanga, walimu pamoja na wataalamu walioambatana na Mkurugenzi wakimsikiliza Mkurugenzi akitoa maelekezo mara baada ya ziara yake katika shule hiyo

Waliosimama ni wajumbe wa kamati ya ujenzi  wa shule ya msingi Marten Lumbanga  wakati wa utambulisho.


Waliosimama ni walimu wa shule ya msingi Marten Lumbanga  wakitambulishwa wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Manispaa.


...........HABARI KAMILI...............





Mkurugezi mtendaji wa halmashauri ya  manispaa ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi amewataka walimu wa shule ya msingi Marten Lumbanga iliyopo mtaa wa Majimatitu B kata ya Kilungule kutunza miundo mbinu ya shule hiyo.Mwakabibi ametoa maelekezo hayo wakati alipotembelea shule hiyo  mwanzoni mwa  wiki .


Akizungumza mara baada ya kukagua mazingira ya shule hiyo ambayo imeanza kutumika rasmi tarehe 29/04/2019 Mwakabibi amesema ''shule ni nzuri, majengo yanapendeza,lakini ili yaendelee kupendeza kama yanavyoonekana sasa, inahitaji kutunzwa.Walimu simamieni utunzwaji wa majengo na samani za shule hii"


Kadhalika Mwakabibi ametaka maboresho zaidi yafanyike ili mazingira ya shule hiyo yawavutie zaidi  na yawawezeshe wanafunzi  kusoma  wakiwa huru.Ameelekeza sehemu za kuboresha ,sehemu hizo ni chooni ,ambapo ametaka maeneo ya kunawia mikono yapauliwe kwa bati ili wakati wa mvua wanafunzi wasinyeshewe. Eneo lingine ni madarasani ambapo ameagiza madawati yaongezwe kulingana na idadi ya wanafunzi, dawati moja likaliwe na  wanafunzi  watatu, vile vile madawati  ya wanafunzi wa darasa la 1 hadi la 3 yatengenezwe  kwa vipimo vitaendana na vimo vyao  ili kuwaondolea adha ya  kuinama wakati wa kuandika.


Aidha ameelekeza kuhusu ujenzi wa ofisi ya mwalimu mkuu pamoja na njia  za zege  kwenye eneo la katikati la shule hiyo ili kuzuia maji kutuama na kusababisha usumbufu kwa wanafunzi .Ili kuhakikisha kwamba maboresho hayo yanafanyika , amemuagiza kaimu mkuu wa idara ya ujenzi wa manispaa ya Temeke kupima na kumpelekea hesabu ya vifaa vinavyohitajika kazi ianze mara moja.


Katika hatua nyingine Mwakabibi amezipongeza kamati  zilizosimamia ujenzi wa shule hiyo ambapo amesema kwamba kamati hizo zimefanya kazi nzuri sana inayopaswa kupongezwa. Sambamba na kuipongeza  kamati,Mwakabibi  pia amempongeza afisa Elimu Msingi kwa jitihada zake za kufuatilia kwa karibu kuhakikisha kwamba shule hiyo inakamilika.


Shule ya msing Matern Lumbanga  ilijengwa kwa lengo la kupunguza mlundikano wa wanafunzi katika shule ya msingi Majimatitu . Ujenzi  wake umegharimu kiasi cha sh. Milioni 324, fedha hizo  zimetolewa na wizara ya elimu, na zimewezesha kujengwa kwa  vyumba 14 vya madarasa, vyoo matundu 40. Hadi sasa ina jumla ya wanafunzi 1,035,idadi hiyo inajumuisha wanafunzi wa darasa la awali hadi darasa la tatu.





...........MWISHO.............

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke