• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkurugenzi Manispaa ya Temeke afanya ziara Mashuleni

Posted on: January 8th, 2020

“WALIMU WAKUU MANISPAA YA TEMEKE SIMAMIENI SHULE ZENU VIZURI” MD  LUSUBILO  MWAKABIBI.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg Lusubilo Mwakabibi amewataka wakuu wa shule katika Manispaa ya Temeke kusimamia vizuri shule wanazoziongoza kwa kuhakikisha miundombinu inayowezesha mazingira ya kujifunzia na kufundishia inakuwa vizuri katika Shule zote za Manispaa hiyo.

Ameyasema hayo leo katika ziara yake ya kutembelea baadhi ya shule za Manispaa hiyo kujionea uhalisia wa Mazingira ya Shule kwa kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo shule zimefunguliwa.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg Lusubilo Mwakabibi akiongea na baadhi ya walimu alipozuru shule ya Sekondari Taifa ambayo ilitokana na shule ya Msingi Kibasila Jijini Dar es Salam.


Akiwa katika shule ya Sekondari Taifa ambayo ni shule mpya iliyobadilishwa kutoka shule ya Msingi Kibasila alikagua mazingira ya shule ikiwemo vyumba vya Madarasa, Matundu ya Vyoo, Madawati, mazingira kwa ujumla na baadae alipata wasaa wa kuongea na wanafunzi wa Shule hiyo.

Akiongea na Wanafunzi hao amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili waweze kutimiza ndoto zao  kwa kuwa wao ndio viongozi watarajiwa. Pia amewahimiza walimu kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi ili wawe na tabia nzuri itakayopelekea kuinua taaluma za wanafunzi hao.

Baadhi ya Wanafunzi walieleza changamoto zinazowakabili mbele ya Mkurugenzi  ikiwa ni pamoja na ukosefu wa Walimu wa masomo ya Sayansi mfano Fizikia, Biologia,  na akamuagiza afisa Elimu Sekondari kuhakisha anawapatia  walimu wa masomo hayo mapema iwezekanavyo.

Mmoja wa Wanafunzi wa shule hiyo akimueleza Mkurugenzi changamoto ya uhaba wa walimu wa sayansi katika shule hiyo na papohapo Mkurugenzi akamuagiza Afisa elimu Sekondari Bi Neema Magembe kulifanyia kazi.

Aidha Mkurugenzi wa Manispaa ameuagiaza uongozi wa Shule ya Sekondari  Taifa hadi ifikapo Jumatatu tarehe 13/01/2020 mtandao  maji uwe umefika katika shule hiyo nvyoo vya shule viwe na maji wakati wote ili kuepuka magonjwa ya milipuko.

Ifahamike kuwa shule ya Sekondari Taifa ni shule mpya ambayo ilibadilishwa kutoka Shule ya Msingi Kibasila na kuwa Sekondari  inavyumba vya madarasa 23 ,Matundu ya vyoo vya wanafunzi 25 na kwa sasa ina wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha pili.

Katika picha ni mwonekano wa vyumba vya madarasa na baadhi ya vyoo vilivyojengwa katika shule hiyo ya Sekondari Taifa ambayo ilibadilishwa kutoka shule ya Msingi Kibasila.

Halimashauri ya Manispaa ya Temeke imedhamiria kuleta Mabadiliko makubwa katika elimu kwa kuhakikisha inaboresha miundombinu ya shule zote za msingi na Sekondari.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke