• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke atangaza neema kwa walimu watakaoinua ufaulu wa wanafunzi

Posted on: January 17th, 2020

Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa  ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi ameahidi kutoa kiasi cha shilingi  Milioni 15 kwa ajili ya kuwapa motisha walimu wa sekondari watakaowezesha  wanafunzi wao kupata ufaulu wa daraja la kwanza  na la pili.

Mwakabibi ametoa ahadi hiyo wakati wa kikao cha kutathmini matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na kidato cha pili  ambacho kimehusisha wadau wa elimu wakiwemo Afisa usalama wa wilaya, Kamanda wa polisi wa wilaya.Afisa elimu wilaya,waratibu elimu kata pamoja wakuu wa shule zote za serikali za  wilaya ya Temeke.


Akizungumza wakati wa hotuba yake                                                                                                                                                                                                              Mwakabibi amesema kwamba hafurahishwi na matokeo yaliyotoka na kwamba kila  mdau wa elimu anapaswa kuona kwamba ana deni la kuwasaidia watoto wa Temeke kupata matokeo mazuri ili waje kuwa watu watakaolisaidia Taifa baadae.

''Kila mtu ajitathmini kwamba ametimiza wajibu wake kwa kiasi gani kuhakikisha kwamba Temeke inapata matokeo mazuri, Afisa elimu kaa na watu wako wekeni mikakati ,matokeo ya kipindi kijacho yawe mazuri.

Serikali inaingia gharama kubwa katika utoaji elimu, Kila mtu ajisikie kuumia pale ambapo matokeo yanakuwa mabaya hii itatufanya tuwajibike ipasavyo mimi niko tayari kuwapatia  kuwapatia msaada wowote mtakaohitaji''.

Katika hatua nyingine Mwakabibi ametoa  kiasi cha shilingi laki moja kwa wakuu wa   shule tano za sekondari  ambazo zimefanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne 2019, shule hizo ni Chang'ombe, Kibasila  Buza,Lumo na Mbagala.

Manispaa ya Temeke imekuwa ikifanya vizuri katika njanja tofauti na dhamira ya mkurugenzi,wadau wa elimu  na uongozi wote kwa ujumla ni kuhakikisha kwamba katika suala la elimu,Wilaya ya Temeke inafanya vizuri katika kuhakikisha tunaunga mkono jitihada za Rais Dkt John Pombe Magufuli


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke