• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkutano wa Baraza la madiwani Manispaa ya Temeke

Posted on: December 11th, 2019

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA TEMEKE LAHIMIZA UWAZI, UADILIFU NA KUTENDA HAKI KWENYE ZOEZI  LA UGAWAJI  VIZIMBA KATIKA MASOKO  MAPYA.

Hayo yamejiri leo katika Baraza la Madiwani Manispaa ya Temeke lililoketi ukumbi wa mikutano Iddy Nyundo Makao makuu ya Manispaa hiyo Jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho cha Baraza la Madiwani kikiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Chaurembo na Katibu wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Deogratius Lukomanya kilikuwa na ajenda mbalimbali ambazo ziliwasilishwa na kupitishwa na Baraza kwa ajili ya Utekelezaji.

Moja ya ajenda ilikuwa ni kupokea taarifa za kamati anuai ikiwemo Kamati ya Fedha, Mipango Miji na Mazingira, Kamati ya Uchumi Afya na Elimu na taarifa za Masoko yanayojengwa na Halmashauri ya Manispaa kupitia mradi wa DMDP.

Akitoa taarifa mbele ya Baraza hilo  kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa Mratibu wa mradi wa DMDP Ndg Edward Haule alisema mradi umejenga Barabara za lami katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Temeke, vituo vya afya na  vituo vya Daladala. 

Kwa upande wa masoko tayari tunayo masoko ambayo yameshakamilika na kwa sasa tumeshaanza kutoa fomu za kugawa vizimba na mwitikio wa watu kuchukua fomu  ni mkubwa hivyo nichukue fursa hii kulihakikishia Baraza la madiwani kuwa mchakato wa kugawa vizimba utafanyika kwa uwazi, kwa kuzingatia taratibu na kanuni tulizojiwekea kwa kushirikiana na waheshimiwa madiwani katika maeneo husika.

Baadhi ya wataalam wakifuatilia kwa makini wakati wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa mikutano Manispaa ya Temeke.

Aidha Baraza la Madiwani Manispaa ya Temeke limeridhia kuanza kwa mchakato huo wa kugawa vizimba lakini kipaumbele kiwe kwa wafanyabiashara wa maeneo husika na wakazi wa Temeke kwa ujumla wake na si vinginevyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke