• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM AWACHARUKIA WAFANYABIASHARA MBAGALA

Posted on: September 2nd, 2021


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Amos Makalla ametoa agizo kwa wafanyabiashara katika eneo la Mbagala wanaofanya biashara zao katika sehemu ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi.


Akizungumza wakati wa mkutano wake na wananchi wa wilaya ya Temeke katika viwanja vya Zakhem Mbagala,Mhe.Makalla amewataka wafanyabiashara hao kutotumia vibaya uhuru wa kufanya biashara ambao Serikali imeutoa kwa wafanyabiashara nchini.


"Uhuru bila utaratibu ni fujo....Nilikuja hapa mwenyewe nikawaambia wapishe eneo hilo la ujenzi ili wakandarasi wafanye kazi hiyo kwa muda maana Serikali inatoa pesa nyingi sana kwenye mradi huu lakini hawakutoka,akaja DC(Mkuu wa Wilaya) sasa nawaambia na nina imani sauti hii inafika kwao maana hapa sio mbali;nataka watoke hapo wapishe ujenzi uendelee".Aliagiza Mkuu huyo wa Mkoa.


Ujenzi huo wa barabara ya mwendokasi awamu ya pili unaoanzia Mbagala kuelekea Gerezani ni utekelezaji wa baadhi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali umekuwa ukichelewa na moja kati ya malalamiko ya mkandarasi ni baadhi ya wafanyabiashara kuingia eneo la ujenzi.


Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa ameendelea kusikiliza kero mbalimbali katika utaratibu aliojiwekea wa kutembelea wananchi wa Mkoa huo huku akiwa tayari ameshatembelea majimbo matatu ya uchaguzi ya Kinondoni,Ubungo na Temeke ambapo kesho anatarajia kukutana na wananchi wa jimbo la Kigamboni.


"Hii ni njia nzuri ya kupunguza mabango ya wananchi kwa viongozi wakuu wa nchi,nawashauri viongozi wenzangu tuwe na tabia ya kuwafuata wananchi kwenye maeneo yao".Alishauri Mkuu wa Mkoa


Suala la maendeleo ni la kila mmoja na hatuna budi kila mmoja kwa nafasi yake kusimaa kuhakikisha maendeleo ya eneo husika na ya nchi kwa ujumla yanasonga mbele.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke